Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kai Haverts vs Southampton:

• 90 minutes played
• 0 goals
• 0 assists
• 0 shots on target
• 0/2 dribbles completed
• 0 crosses
• 0 long balls
• 0 aerial duels won
• 0 interceptions
• 1 tackle won
• 1 big chance missed
• 10x possession lost
 
Kumbe Jana tumecheza..!!! Halafu tumepigwa..?! Aise tuneshakuwa matakataka sasa..hatuna maana tena. Huyu tuchel alisema anajenga timu ambayo hakuna timu itataka kukutana na sisi ...ndio huu utopolo anaujenga .!!
Aise hii timu Ni takataka tu kwa Sasa. Ngoja nizame zangu uzi wa picha Kali za warembo nikajipooze tu kule.
Pumbafu kabisa..
 
😂😂😂😂😂
Matakataka katika ubora wenu
 
Kai Haverts vs Southampton:

• 90 minutes played
• 0 goals
• 0 assists
• 0 shots on target
• 0/2 dribbles completed
• 0 crosses
• 0 long balls
• 0 aerial duels won
• 0 interceptions
• 1 tackle won
• 1 big chance missed
• 10x possession lost
Kwaio huyu mpuuzi kai, jana alikua anafanya nini uwanjani
 
Kumbe Jana tumecheza..!!! Halafu tumepigwa..?! Aise tuneshakuwa matakataka sasa..hatuna maana tena. Huyu tuchel alisema anajenga timu ambayo hakuna timu itataka kukutana na sisi ...ndio huu utopolo anaujenga .!!
Aise hii timu Ni takataka tu kwa Sasa. Ngoja nizame zangu uzi wa picha Kali za warembo nikajipooze tu kule.
Pumbafu kabisa..
Tuliza kalio lako una mdomo mwingi

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Halafu mnasema mna timu😂😂😂
IMG_20220831_094249.jpg
 
Timu ambayo haiwezi ku defend vizuri basi isahau kabisa uukwaa ubingwa wa Ligi kuu ya Uingeleza.

Naona bado kuna matatizo makubwa kwenye holding midfielders - Ruben Loftus-Cheek bado saana..... Jorginho si born holding mid kukaba box to box hawezi...yeye anaweza pass za mwisho zaidi.

Pengo la Ngolo na Mateo Kovacic lipo wazi kabisa. Mabeki Kalidou Koulibaly na César Azpilicueta ni mizigo mingine tosha. Huyo Marc Cucurella bado anahangaika kujiweka sawa kwenye timu.

Kiwango cha Mason Mount msimu huu kinazingua pia.

Bado tusubiri maumivu zaidi......
 
Issue kubwa ni mid kwa sasa kuliko hata striker,

Kumt3gemea Kante n Kovacic nikujitaftia matatizo. Sahiv ni injury prone hao,

Jorginho ni mzuri tim ikiwa na mpira, kwenye kuutafuta sio mzuri.

Huu msim unaweza kuwa mrefu sana kwetu, labda tubadilike ghafla
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom