Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu anayounda tucho ambayo kila mtu ataiogopa
IMG_20220831_163545.jpg
 
Nilivyo andika hapa mlinibeza sana cheltako lakini mlionesha dalili zote kwamba huu msimu sio mzuri kwenu

Lazima mbatizwe kwa moto[emoji16][emoji16][emoji16]
Ligi ndio imenza, mto hatujafuka, wewe unatukana mamba. Pole sana
 
Unakuta mtu unamuheshimu vizuri,kumbe anashabikia Chelshit [emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] mtoto una roho mbaya ww ngoja cheltako waamke
 
Nilivyo andika hapa mlinibeza sana cheltako lakini mlionesha dalili zote kwamba huu msimu sio mzuri kwenu

Lazima mbatizwe kwa moto[emoji16][emoji16][emoji16]
Ligi ndio imenza, mto hatujafuka, wewe unatukana mamba. Pole sana
 
Chelsea are looking to complete a deal for the Ajax midfielder Edson Alvarez before tomorrow’s deadline. Talks have already begun over a transfer worth upwards of £40million

If tukimpata huyu itakuwa tumesolve issue ya dm/cm anaweza play pote kati ya hizo sehem 2
 
Issue kubwa ni mid kwa sasa kuliko hata striker,

Kumt3gemea Kante n Kovacic nikujitaftia matatizo. Sahiv ni injury prone hao,

Jorginho ni mzuri tim ikiwa na mpira, kwenye kuutafuta sio mzuri.

Huu msim unaweza kuwa mrefu sana kwetu, labda tubadilike ghafla
Hata timu ikiwa na mpira, huyo anapoteza poteza sana, source kubwa ya kufungwa ni Jogninho kupoteza mipira katikati ya uwanja au eneo la hatari golini kwake mwenyewe. Huyo hafai with the ball or without the ball. anatakiwa aondoke kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] mtoto una roho mbaya ww ngoja cheltako waamke
Wataamkia wapi haya makubwa zembe[emoji23]
Wabovu kama mayai ya kisasa.

Kwanza jeuri ya kulala sijui wanaitoa wapi..mimi Liver nishaamka na ushindi ninao mkononi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom