Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tufunge maombi tuiombee timu yetu
Screenshot_20220831-130457_Twitter.jpg
 
Sina raha kabisa, naomba tu Simba inipoze machungu walau - haya maisha ni magumu mno aisee !!
 
Tuchel ana falsafa mbaya sana ya uchezaji ambayo haitakiwi kwa timu inayo pambania makombe. Jamaa mpira wake umepoa sana kama kinyonga, ule mpira siupendi kwa kweli. Hivi huwa haoni vile LiverPUNGA, Man SHIT ama AseNANE wanavyo peleka moto. Yaani mtu anatafutwa mpaka anakubali, sasa yeye pole pole kama kalazimishwa, pumbavu zake. Yule mbwa anakera sana
Ila mbona wakati anakuja ule msimu tunachukua champions League mbona tulikuwa tunacheza Mpira tofauti na Huu ? , tulikuwa tunahold Mpira at the same time tunapiga Pasi fupi fupi na kushambulia Kwa Kasi ? , Ile ndio ulikuwa Chelsea sasa ,pamoja na matakataka yaliyokuwepo Ila mbona timu ilikuwa unacheza soka la kuvutia na ushindi unapatikana ? ,Why sasa ?
Tuchel ameingiwa na shetani gani sijui .
 
Hii medical ni ya siku mbili wahenga ??

Wesley Fofana: Leicester defender set for medical ahead of £70m move to Chelsea

Wanampima tezi dume bila Shaka , tatizo si beki , tutanunua mabeki wote dunia nzima Ila kama hatutafuti central defensive midfielder na creative attacking midfielder WA ukweli tutasanda
 
Siku zote timu ikifanya vibaya lawama lazima ziwe kwa kocha huwezi ukafukuza wachezaji sasa angalia Chelsea inaongoza kwa kufanya usajiri lakini inapata matokeo mabovu

Hakuna tajiri atayekubali kumwaga pesa halafu ategemee matokeo mabovu lazima kocha awajibike na kufukuza makocha ndio imefanya tumepata mafanikio miaka ya nyuma
Tumefanya usajili wa kureplace rather than9 improving.

Nakumbuka Tuchel alisema badala ya sisi tuimprove kikosi tunajikuta tunaanza kujenga upya, mwishon mwa msim uliopita
 
Ila mbona wakati anakuja ule msimu tunachukua champions League mbona tulikuwa tunacheza Mpira tofauti na Huu ? , tulikuwa tunahold Mpira at the same time tunapiga Pasi fupi fupi na kushambulia Kwa Kasi ? , Ile ndio ulikuwa Chelsea sasa ,pamoja na matakataka yaliyokuwepo Ila mbona timu ilikuwa unacheza soka la kuvutia na ushindi unapatikana ? ,Why sasa ?
Tuchel ameingiwa na shetani gani sijui .
Wachezaj wanacheza kumuimpress new coach wakishamzoea tu. Back todefault mode.

Ndio maana Pep baada ya kuingia city akaanza kupunguz wote asiowahitaji msimu ule akamaliza wa tatu(3), msim uliofata akamaliza wote kuwaondoa asiowahitaji akiwemo Yaya Toure akabakia na 4 silva,aguero,komapany na fernandinho akabeba ubingwa
 
Wanampima tezi dume bila Shaka , tatizo si beki , tutanunua mabeki wote dunia nzima Ila kama hatutafuti central defensive midfielder na creative attacking midfielder WA ukweli tutasanda
DM + AM aliyemature tukifanya hizo sajil hapo ndio tutakuwa tukotayar kupigania Premier League
 
Kile kipigi cha Barca angalau sasa tunalipiza kisasi
Akija City kwa cucurella unapiga ngumi ya pua
Akija Man u kwa De Jong unapiga ngumi jicho la kulia
Hat PSG akipita njia yetu tunakung'uta ile mbaya
Liverpool akizubaa naye tunapiga ya kichwa hadi wakome kabisa
Halafu mwisho Barcelona tunamsubiri UEFA, tukipangwa Group moja tutamwonyesha njia ya kurudi alikotoka
Dah ila mlijitapa aise
 
Prediction yangu kwa chelsea 2022/23

Tuche amalizi msimu mzunguko wa kwanza tu anapoteza kazi ndo hatakuwa kocha wa kwanza kupoteza kazi pale England.

Nafasi =5/6

Uefa = 16 bora

FA = semi final

Carabao cup = final lost 2_1

Top score = kai havertz 5 goals

Top asisst = stering 3

Mendy Clean sheet = 6

Kila msimu lazima timu kubwa moja ichemshe vibaya sana.

Kwa upepo naouona lile jini la manure lililo tutesa msimu ulio pita naona kila dalili linakuja kwenu mjiandae tu kisaikolojia.

View attachment 2312981
Nilivyo andika hapa mlinibeza sana cheltako lakini mlionesha dalili zote kwamba huu msimu sio mzuri kwenu

Lazima mbatizwe kwa moto
 
Karibu Darajani Kamanda.... miaka 7 si mchezo !! tutakuwa na wewe saaana tu.

Wesley Fofana moves to Chelsea in a deal worth £70m plus £5m in add-ons; Chelsea had three previous bids for the Leicester defender rejected by the Foxes; the defender is the Blues' seventh signing of the summer transfer window
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom