Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Zaha ni hatari! Akija darajani atasaidia sana kwenye striking force..!
Shida yetu ni striker zaidi na Zaha ni winger aina yetu ya mpira haimfiti Zaha, Zaha ni winger wa kizamani anacheza zaidi pembeni alafu pia anafaa kwenye team zinazofanya counter attack je kwa mpira wetu wa konokono ni sahihi?
 
Naamini anacheza vile kwa sababu ya aina ya timu aliyopo. Ni better option kama hatutampata Auba. Better than 2000000000000000 Kai Havertz kwenye form yao ya sasa!
 
Tumebutuliwa mechi ya jana. Sio ajabu!
Hope kocha atakuwa na akili bora next match na WHU.
Naona kama tulipaswa kukaa na Lampard zaidi kuliko huyu Tactician!
Anyway #BringBackLampard 😉
 
Naamini anacheza vile kwa sababu ya aina ya timu aliyopo. Ni better option kama hatutampata Auba. Better than 2000000000000000 Kai Havertz kwenye form yao ya sasa!
Ningekuelewa zaidi ungesema Depay huyu ndio anafit aina ya soka la TT kwasababu kocha anahitaji mchezaji wa mbele atakayeweza kufanya movement ndani ya box na kutostick kwenye nafasi moja ili kusaidia kupatikana space zitakazoshambuliwa na sterling, Ziyech au Mount na hii quality anayo Depay, Zaha hawezi hivi yeye anapenda apigiwe counter afunge au apige chenga beki aingie ndani ya box afunge kwa sisi ambao tuna shida ya striker mchezaji wa namna hii hatufahi mkuu
 
Mkuu hembu uangalie masaa yako hayo

Saa 8 na nusu ya uk sept 2, ndio saa 5 na nush sept 1 east afrika

Dirisha linafungwa leo 1/9/2022,saa 5 usiku kwa saa za Uk, ambazo ni sawa na saa 7 usiku september 2 kwa saa za afrika mashariki
Sorry, nilisoma haraka haraka sehemu walioelezea kwa mfumo wa IST badala ya GMT
 
Liver wanakamilisha usajili wa Arthur Melo, sisi bado tunadanga kwa Auba kwa muda mrefu wakati kiungoni ku na shida kubwa
 
Ningekuelewa zaidi ungesema Depay huyu ndio anafit aina ya soka la TT kwasababu kocha anahitaji mchezaji wa mbele atakayeweza kufanya movement ndani ya box na kutostick kwenye nafasi moja ili kusaidia kupatikana space zitakazoshambuliwa na sterling, Ziyech au Mount na hii quality anayo Depay, Zaha hawezi hivi yeye anapenda apigiwe counter afunge au apige chenga beki aingie ndani ya box afunge kwa sisi ambao tuna shida ya striker mchezaji wa namna hii hatufahi mkuu
Mwingine ni Toney
 
Liver wanakamilisha usajili wa Arthur Melo, sisi bado tunadanga kwa Auba kwa muda mrefu wakati kiungoni ku na shida kubwa
Auba inakuwa swap deal, mwanzon barce walikuwa wanagoma.

Kiungo kunataarifa toka jana zimezuka za Edson Alvarez wa Ajax
 
Ningekuelewa zaidi ungesema Depay huyu ndio anafit aina ya soka la TT kwasababu kocha anahitaji mchezaji wa mbele atakayeweza kufanya movement ndani ya box na kutostick kwenye nafasi moja ili kusaidia kupatikana space zitakazoshambuliwa na sterling, Ziyech au Mount na hii quality anayo Depay, Zaha hawezi hivi yeye anapenda apigiwe counter afunge au apige chenga beki aingie ndani ya box afunge kwa sisi ambao tuna shida ya striker mchezaji wa namna hii hatufahi mkuu
Huyo Deepay kumpata ndio haiwezekani sasa. Striker anayefit mfumo wa TT hajazaliwa bado!
 
Arsen Zakharyan’s potential move to #Chelsea is now off.

FA currently blocking the move. #cfc

[@Nathan_Gissing]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom