Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kweli watu hamna shukraniTumebutuliwa mechi ya jana. Sio ajabu!
Hope kocha atakuwa na akili bora next match na WHU.
Naona kama tulipaswa kukaa na Lampard zaidi kuliko huyu Tactician!
Anyway #BringBackLampard 😉
TT alipowafikisha ila Leo mnamuona takataka






Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
