Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Tuchel ni fala sana
Tutasema yote ila Tatizo lipo kwa Takataka TT YULE MDIO MJINGA
Tutasema yote ila Tatizo lipo kwa Takataka TT YULE MDIO MJINGA
tukicheza namna hii kwa Liver ama City, unaweza kujikuta mtu unapigwa gwala !!. Half-time nilikwenda kulala sikuweza kuvumilia mpira ule kwa kweli.Issue kubwa ni mid kwa sasa kuliko hata striker,
Kumt3gemea Kante n Kovacic nikujitaftia matatizo. Sahiv ni injury prone hao,
Jorginho ni mzuri tim ikiwa na mpira, kwenye kuutafuta sio mzuri.
Huu msim unaweza kuwa mrefu sana kwetu, labda tubadilike ghafla
Itakuwaje sasa?
OllaChuga Oc si ulisema huu msimu mnakaa pale juu ya ubao
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app



badala ya kukaa juu ya ubao wamejikuta wamekaa juu ya uboooohhhhh.
Msimu uliopita nilimsema sana huyo jaluo watu Waka ishambulia kweli kweli. Mendy naye takataka, Hana consistency Tena Leo supa kesho hovyo. Time will tell
Pole sana Papaa ndio ukubwa huo, taratibu utazoea tu kuvaa kijora bila ya Kyupi.Tuchel ana falsafa mbaya sana ya uchezaji ambayo haitakiwi kwa timu inayo pambania makombe. Jamaa mpira wake umepoa sana kama kinyonga, ule mpira siupendi kwa kweli. Hivi huwa haoni vile LiverPUNGA, Man SHIT ama AseNANE wanavyo peleka moto. Yaani mtu anatafutwa mpaka anakubali, sasa yeye pole pole kama kalazimishwa, pumbavu zake. Yule mbwa anakera sana
Hawezi kuondoka kwa sasa , Cha kufanya omba tu Ngolo, Mathew na Chidwell wote wawe kwenye form ili ufurahi... ila TOP four kwa form hiyo haipo kabisa.Sito angalia tena game ya Chelsea mpaka lile kubwa jinga linaitwa Tuchel litoke kwenye timu yetu, pumbavu zake. Jamaa linakera lile
kwani tuliokuwa tunashabikia asernal iliyokuwa inabokolewa kila uchao miaka nenda rudi siyo binadamu ? Chelsea itarudi tu - hii ni game ya 4 tu wapendwa zipo 34 mbele yetu.Unakuta mtu unamuheshimu vizuri,kumbe anashabikia Chelshit 😂😂😂💔
Hujui mpira wweSito angalia tena game ya Chelsea mpaka lile kubwa jinga linaitwa Tuchel litoke kwenye timu yetu, pumbavu zake. Jamaa linakera lile
Medical ishakamilika, kilichobaki ni kutangazwaHii medical ni ya siku mbili wahenga ??
Wesley Fofana: Leicester defender set for medical ahead of £70m move to Chelsea
Siku zote timu ikifanya vibaya lawama lazima ziwe kwa kocha huwezi ukafukuza wachezaji sasa angalia Chelsea inaongoza kwa kufanya usajiri lakini inapata matokeo mabovuKatika kitu nachoamini hata aje nani tutacheza vizur 1 season then unaofata tunarudi kwenye default mode, tunaanza kumalum kocha ila shida kuu iko kwa wachezaji.
Tutacheza vizuri kumshawishi kocha, then wakihisi washamshawishi wanarudi kwenye default mode,
Hii cycle itaendeleea kujirudi huku tukijificha kwenye kivul cha kocha