lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Kuna baadhi ya vitu muhimu vya kuweka maanani kwa mchezaji kama Kane kuuzwaConte hawezi kumuachia Kane
- Mapato ya kuuza vs malengo ya timu (realistic goals) Spusr haiwezi kugombe makombe makubwa, labda wakimuuza Kane kwa bei nzuri wanaweza pata nguvu ya kujenga kikosi imara zaidi
- Kane ni mzee haendelei kuwa kijana, kule mbele labda ataondoka bila faida
- Kane mwenye anayo ambition ya makombe makubwa na atahitaji kwenda timu ambayo hayo yanaweza fikiwa
- Msukumo wa uongozi unaweza lazimisha Kane kuuzwa kama ofa nzuri itatolewa
- Ni kweli mfarakano na kocha inaweza kutokea kama Conte hajapelekwa shule vizuri