Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi niko tofauti kidogo kuhusu Kai.

Jana Kai kipindi cha kwanza alikuwa miyeyusho ila kipindi cha pili, aliperform vizuri kiasi chake. Hiyo ni baada ya mason mount kutoka.

Aliinvolve kwenye ile chance ambayo Sterling aligonga mwamba, yeye ndio alikokota mpira kama ya kumpa Cucurella.

Akainvolve kwenye goal la 2, yeye ndo alimpa pasi james James akaassit.

Kulikuwa na mistakes mfano goal la leicester, Kai alituliza mpira vibaya[Alituliza kama Lukaku] Leicester wakachukua mpira na kufanya lile shambulizi na kupata goal.

I think Mount na Kai siyo watu wa kuanza pamoja. Mount aanze kula Bench from next match.
Ila kai baada ya kupoteza huo mpira hakuweka juhudi ya kuufuata na kuunyanganya tena......ni mvivu au hana motisha hiyo goli tusinge fungwa tulipoteza mpira kizembe sanaa
 
Kuhusu Callagher

Kulikuwa na improvement ukilinganisha na match ya Leeds.

Alianza alikuwa anawin balls na hata ile chance ambayo RLC alikosa ni Callagher ndio aliwin ball kabla ya kumpa Sterling na Sterling kutoa ile pass ambayo RLC alikosa.

Yellow Card yake ya kwanza haikuwa ya lazima, Japo ile incident ya pili ilikuwa inaqualify kuwa straight red card.

Japo kiukweli kwenye ile incident mlitaka afanyaje? Pale tulikuwa tunapigwa kamba ya kwanza.

Bado dogo anaweza kuwa back nzuri tu japo bado tunahitaji proper DM.
 
Ila kai baada ya kupiteza huo mpira hakuweka juhudi ya kufuata na kuunyanganya tena......ni mvivu au hana motisha hiyo goli tusinge fungwa tulipoteza mpira kizembe sanaa
I admit. Ilikuwa ni fault ya Kai tukafungwa lile goal. Although kulikuwa Positives pia kutoka kwake.
 
Mimi niko tofauti kidogo kuhusu Kai.

Jana Kai kipindi cha kwanza alikuwa miyeyusho ila kipindi cha pili, aliperform vizuri kiasi chake. Hiyo ni baada ya mason mount kutoka.

Aliinvolve kwenye ile chance ambayo Sterling aligonga mwamba, yeye ndio alikokota mpira kama ya kumpa Cucurella.

Akainvolve kwenye goal la 2, yeye ndo alimpa pasi james James akaassit.

Kulikuwa na mistakes mfano goal la leicester, Kai alituliza mpira vibaya[Alituliza kama Lukaku] Leicester wakachukua mpira na kufanya lile shambulizi na kupata goal.

I think Mount na Kai siyo watu wa kuanza pamoja. Mount aanze kula Bench from next match.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Like goli la kwanza la Sterling sikuwahi kuona ikifungwa tangu enzi za Lampard akiwa mchezaji.
Goli la pili la timing ni Lukaku tu alifungua dhidi ya Arsenal. It was a good timing ambayo in recent seasons hakuna forward anafanya hizo vitu

Natamani hata Gordon tumpate aje cheza nafasi ya Mount na Auba nafasi ya Havertz tumalize tatizo la magoli huko mbele angalau tuweze kutetea top 4
 
Kuhusu Callagher

Kulikuwa na improvement ukilinganisha na match ya Leeds.

Alianza alikuwa anawin balls na hata ile chance ambayo RLC alikosa ni Callagher ndio aliwin ball kabla ya kumpa Sterling na Sterling kutoa ile pass ambayo RLC alikosa.

Yellow Card yake ya kwanza haikuwa ya lazima, Japo ile incident ya pili ilikuwa inaqualify kuwa straight red card.

Japo kiukweli kwenye ile incident mlitaka afanyaje? Pale tulikuwa tunapigwa kamba ya kwanza.

Bado dogo anaweza kuwa back nzuri tu japo bado tunahitaji proper DM.
Jihginio angekua anafanya jukumu lake la kudefend carragah asinge pate hiyo kadi ya kwanza, Ali jitahidi kufanya jukumu la kumbeba Jihginio wakati hawezi ndo maana ili tokea hiyo kadi.
 
Like goli la kwanza la Sterling sikuwahi kuona ikifungwa tangu enzi za Lampard akiwa mchezaji.
Goli la pili la timing ni Lukaku tu alifungua dhidi ya Arsenal. It was a good timing ambayo in recent seasons hakuna forward anafanya hizo vitu

Natamani hata Gordon tumpate aje cheza nafasi ya Mount na Auba nafasi ya Havertz tumalize tatizo la magoli huko mbele angalau tuweze kutetea top 4
Ziechy hizo goli anafunga vizuri kumbuka lile goli la spurs, isipo kua anakosa nafasi tano anafunga moja
 
Sikumaanisha hivyo, lile goli la Sterling jana halikupigwa kwa nguvu, ufundi zaidi ndio ulitumika, magoli ya Ziyech yanafanana na hilo goli ile yeye anategemea nguvu. Sterling alidonoa ikaenda kutua kwe ye kona ya goli, angetumia nguvu kama Ziyech kwa ile position kipa angeipangua kwa sababu aidha angetakiwa iambae kwa chini chini ili isipae au anyanue ipae juu ya goli.Kwa maoini yangu ndio tofauti ya lile goli loa Ziyech na hilo la Sterling

Sterling goal depend on skills executions
Ziyech goal depended on power execution
 
Man United nao wamuulizia Auba Barcelona
Auba anaitaka Chelsea, kasema huko ndiko atadhaminiwa
Kinachokwamisha ni maelewano ya muda wa mkataba, Chelsea wako tayari kutoa mwaka mmoja tu, Auba anataka angalau miwili
 
Mimi niko tofauti kidogo kuhusu Kai.

Jana Kai kipindi cha kwanza alikuwa miyeyusho ila kipindi cha pili, aliperform vizuri kiasi chake. Hiyo ni baada ya mason mount kutoka.

Aliinvolve kwenye ile chance ambayo Sterling aligonga mwamba, yeye ndio alikokota mpira kama ya kumpa Cucurella.

Akainvolve kwenye goal la 2, yeye ndo alimpa pasi james James akaassit.

Kulikuwa na mistakes mfano goal la leicester, Kai alituliza mpira vibaya[Alituliza kama Lukaku] Leicester wakachukua mpira na kufanya lile shambulizi na kupata goal.

I think Mount na Kai siyo watu wa kuanza pamoja. Mount aanze kula Bench from next match.
Ahsante
 
Mbona Romano kareport kwamba personal terms hakuna shida week sasa ishu imebaki kwenye vilabu
 
Jihginio angekua anafanya jukumu lake la kudefend carragah asinge pate hiyo kadi ya kwanza, Ali jitahidi kufanya jukumu la kumbeba Jihginio wakati hawezi ndo maana ili tokea hiyo kadi.
Kuna huyu mtoto anaitwa gilmour alikua nakuja vizur mbona naona kama haaminiw kama hao kina Gallagha.
 
Mimi niko tofauti kidogo kuhusu Kai.

Jana Kai kipindi cha kwanza alikuwa miyeyusho ila kipindi cha pili, aliperform vizuri kiasi chake. Hiyo ni baada ya mason mount kutoka.

Aliinvolve kwenye ile chance ambayo Sterling aligonga mwamba, yeye ndio alikokota mpira kama ya kumpa Cucurella.

Akainvolve kwenye goal la 2, yeye ndo alimpa pasi james James akaassit.

Kulikuwa na mistakes mfano goal la leicester, Kai alituliza mpira vibaya[Alituliza kama Lukaku] Leicester wakachukua mpira na kufanya lile shambulizi na kupata goal.

I think Mount na Kai siyo watu wa kuanza pamoja. Mount aanze kula Bench from next match.
Ukimuondoa Gallagher aliyetolewa kwa kadi nyekundu, waliocheza vibaya jana kuliko wachezaji wote walioanza ni Kai Havertz na Mount. Hao wote wawili wanastahili kupigwa benchi kwa sababu tangu ligi ianze hakuna kitu wanachofanya
Na ndio maana ni muhimu sana Anthony Gordon na Aubameyang wasajiliwe haraka ili tuwe na startup line up nzuri kule mbele

Sterling ----------- Auba ------------- Gordon

Wachezaji waliocheza vizuri ni Reece James, RLC, Sterling na Silva

RLC alitupatia penalty iliyoharibiwa na Havertz kuwa offside

Form ya RLC ikiendelea kuinuka wakati hatuna wachezaji bora atatufaa sana kwenye attacking phase

Conor Gallagher angecheza hadi mwisho bila red jana angeperform vizuri sana, ile agressiveness ya place jana niliiona akiapply na ilikuwa inaleta matunda, very sharp halafu anatoa mpira kwa haraka

Cucurela naye hajacheza vibaya kwanza katupa assist kwa goli la Sterling la kwanza

Pia Chalobah amecheza vizuri, form yake ikirudi atakuwa asset kub wa msimu huu

Wengine waliobaki walicheza just regular performance
 
Barca wanamtaka sana Alonso kama Backup ya Jordi Alba
Sisi tunamuitaji sana Auba kwenye attacking force
Kwa nini Barcelona hawataki swap deal?
Ni ili watuminye kiswasawa kwa Alonso halafu huku wakitukamua kisawasawa kwa Auba?
 
Kuna huyu mtoto anaitwa gilmour alikua nakuja vizur mbona naona kama haaminiw kama hao kina Gallagha.
Huyu pia ni average player na akicheza vizuri match moja nyingine anaboronga........
 
Blues tungeelewa jambo majo kwamba generally matatizo yetu makuu ni haya:

1.Hatuna wachezeji wenye maajabu huyu boraja Mount Odai kai ziechy Gharagha viwango vyao ni timu za kawaida middle table team, hapa hata kama hamtaki kumpongeza TT kutupa results na kumalizia no 3 kuweza kuenda uefa, ila Chelsea haina first class players anae bisha naomba alinganishe forward ya Leicity tulio funga 2-1 na forward yetu ukimuondoa sterling. Verdy Bernes, Tielleman nk utawalinganisha na Kei Mount na Odoi , timu yetu ni mbovu tuna bebwa na kochi.
2. Tactical approach yake ni mpya sana kwa washabiki wa blues lakini nacho jua ulinzi shilikishi una tusaidia kutofungwa haraka kwasbb hatuna talented players mbele ndo maana tunashikilia mpila kwa mda mrefu, kwa mfano Chalobah umuache peke yaka nyuma hapo tutafungwa mpaka basi.

3. Mpeni TT wachezaji wazuri kama wa Manchester utd au Leicity uone kama atatumia ulizi shirilishi tena, Johginio ni mzigo ila ndo anae ongoza team kwa kucheza fault ball kulinda ushindi wetu hatuna mbadala yake mpaka apatikane.

4. Pale tuna wachezaji kama sita tu ambao wanaweza kupewa number kwenye team za maana kama Madrid au Liverpool, James cucu, kante, covici, sterling, Azippe (age) chillwel, Tiago sliva (age) na Merdy, kweli teame yenye first world players sita na unaendelea kumlaumu kochi.

5.Hongera zote apewe kocha kutuwezesha kuendelea kucheza uefa, kama unataka kuhakikisha kwamba timu yetu ni mbovu tuna wachezaji first class 6 tu, neenda ukalinganisha wage structure yatu na team zingine za top 4. Ndo uone kwamba mshahara wetu ni robo ya team zingine.
Mbona ujawaweka koulibaly na Benchilwell au hawa kwako ni wachezaji wa kawaida?
 
Ilikuwa 7-0 sio 9-0
Ktk historia ya EPL timu zilizoshinda 9-0 ni 3 tu
Manchester United dhidi ya Ipswich town 4 March 1995
Tena Man U dhidi ya Southampton 25 Oct 2021
Leicester City dhidi ya Southampton 2 Feb 2019
Na Jana 27 Aug 2022 Liverpool dhidi ya Bonamouth
Tottenham ujawaweka hapo aliwahi kumpiga mtu 9 nakumbuka hiyo game Defoe alipiga hattrick
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom