lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,491
Rekodi niliyoweka ni ya 9-0, labada wao wakipiga 9-X au ni 9-0 lakini sio EPLTottenham ujawaweka hapo aliwahi kumpiga mtu 9 nakumbuka hiyo game Defoe alipiga hattrick
Rekodi niliyoweka ni ya 9-0, labada wao wakipiga 9-X au ni 9-0 lakini sio EPLTottenham ujawaweka hapo aliwahi kumpiga mtu 9 nakumbuka hiyo game Defoe alipiga hattrick
Waliwahi kushinda 9-0 1971 kwenye division 2 na mwaka huo huo kwenye UEFA Cup. Zaidi ya hapo hakunaTottenham ujawaweka hapo aliwahi kumpiga mtu 9 nakumbuka hiyo game Defoe alipiga hattrick
Kuna vitu vingine kocha anatuangusha Sana jorginho anazingua kila game lakini kocha anaendelea kumuamini hivi kwanini hiyo nafasi usimpe Gilmour? mount na kai wote kwa pamoja hakuna hata game 1 walioperform vizuri lakini kocha kawan'gan'gania as if hatuna wachezaji wengine kwenye hizo nafasi.kwa hali hii inawadisappoint hata wachezaji waliokwenye benchi Kuna haja gani yakumchezesha kai winger wakati una mawinger halisi odoi na PulisicMimi niko tofauti kidogo kuhusu Kai.
Jana Kai kipindi cha kwanza alikuwa miyeyusho ila kipindi cha pili, aliperform vizuri kiasi chake. Hiyo ni baada ya mason mount kutoka.
Aliinvolve kwenye ile chance ambayo Sterling aligonga mwamba, yeye ndio alikokota mpira kama ya kumpa Cucurella.
Akainvolve kwenye goal la 2, yeye ndo alimpa pasi james James akaassit.
Kulikuwa na mistakes mfano goal la leicester, Kai alituliza mpira vibaya[Alituliza kama Lukaku] Leicester wakachukua mpira na kufanya lile shambulizi na kupata goal.
I think Mount na Kai siyo watu wa kuanza pamoja. Mount aanze kula Bench from next match.
Fabrizio anasema personal terms na auba zishakuwa agreed, sasa hapo unaposema sijui auba anataka 2 che wanataka 1 not true,,Man United nao wamuulizia Auba Barcelona
Auba anaitaka Chelsea, kasema huko ndiko atadhaminiwa
Kinachokwamisha ni maelewano ya muda wa mkataba, Chelsea wako tayari kutoa mwaka mmoja tu, Auba anataka angalau miwili
Reliable reporter wote wanasema hivyo issue imebaki kwa barce n chel kukubaliana maana player ashakubali, nashangaa sijui hii habar kaitoa wapiMbona Romano kareport kwamba personal terms hakuna shida week sasa ishu imebaki kwenye vilabu
Koubaly ni memsahau samahani but an prove kua mchezaji sahihi kwa mabingwa wa blues piaMbona ujawaweka koulibaly na Benchilwell au hawa kwako ni wachezaji wa kawaida?








Makocha wanampenda Jorgihno sijajua ana Nini?Kila team utakuta anapata namba mimi sijawahi kuelewa anawapa kitu gani uwanjani ,labda mnieleweshe.Kuna vitu vingine kocha anatuangusha Sana jorginho anazingua kila game lakini kocha anaendelea kumuamini hivi kwanini hiyo nafasi usimpe Gilmour? mount na kai wote kwa pamoja hakuna hata game 1 walioperform vizuri lakini kocha kawan'gan'gania as if hatuna wachezaji wengine kwenye hizo nafasi.kwa hali hii inawadisappoint hata wachezaji waliokwenye benchi Kuna haja gani yakumchezesha kai winger wakati una mawinger halisi odoi na Pulisic
Ni senior team leader and game reader hilo tu ndo wanampendea kwa hiloMakocha wanampenda Jorgihno sijajua ana Nini?Kila team utakuta anapata namba mimi sijawahi kuelewa anawapa kitu gani uwanjani ,labda mnieleweshe.
Kuna uwezekano dili la Alonso likafeliBarca wanamtaka sana Alonso kama Backup ya Jordi Alba
Sisi tunamuitaji sana Auba kwenye attacking force
Kwa nini Barcelona hawataki swap deal?
Ni ili watuminye kiswasawa kwa Alonso halafu huku wakitukamua kisawasawa kwa Auba?
Kuna tetesi zinasema hivyo chelsea wanataka kumpa mwaka 1 ila yeye anadai 2 kipengele kipo hapo kumbuka ana 33 anasajiliwa kwa plan ya mda mfupi ataongezewa mkataba kutokana na form yakeReliable reporter wote wanasema hivyo issue imebaki kwa barce n chel kukubaliana maana player ashakubali, nashangaa sijui hii habar kaitoa wapi
Lakini Batman hayupo kwenye mipango ya kocha ndio maana hana hata jersey. Nasema Broja kwasababu yupo kwenye squad na hata jana alikuwepo bench. Sidhani kama Broja would have been worse kuliko Havertz. Angalia hizo ratings.Yaani pale ni Bora mara 10 angewekwa Batshuayi
Kai Nimemuongelea huwa alicheza vibaya, Lakini ni kipindi cha kwanza, Kipindi cha pili baada ya Mount kutoka mbona Kai kuna moves nzuri tu ambazo alizifanya?Ukimuondoa Gallagher aliyetolewa kwa kadi nyekundu, waliocheza vibaya jana kuliko wachezaji wote walioanza ni Kai Havertz na Mount. Hao wote wawili wanastahili kupigwa benchi kwa sababu tangu ligi ianze hakuna kitu wanachofanya
Na ndio maana ni muhimu sana Anthony Gordon na Aubameyang wasajiliwe haraka ili tuwe na startup line up nzuri kule mbele,.
Sterling ----------- Auba ------------- Gordon
Umepotea njia wewe....Timu pekee jiji la London yenye uefa 2 timu iliyoleta mapinduzi England na Dunian kote mdogo mdogo mpka kileleni the blues![]()
![]()
Benchilwell pia umemsahau?Koubaly ni memsahau samahani but an prove kua mchezaji sahihi kwa mabingwa wa blues pia
Huyu nime mtaja chillwell pia huyu ni mzuri sio hao wakina plusic adoi mount ziech kai batswayi nk, wote wewe team B. Second elevenBenchilwell pia umemsahau?
Labda kageuka au waandishi walidukua vibaya.Fabrizio anasema personal terms na auba zishakuwa agreed, sasa hapo unaposema sijui auba anataka 2 che wanataka 1 not true,,
Issue ya Auba imebaki kwa barce n chelsea kukubaliana, Barce wanataka €30M, huku chel wakitaka kutoa £15 +Alonso, Barce wanataka cash View attachment 2337280
Wako reliable but not final. Mjue pia hiloReliable reporter wote wanasema hivyo issue imebaki kwa barce n chel kukubaliana maana player ashakubali, nashangaa sijui hii habar kaitoa wapi
Hapana, Barcelona Wana LB mmoja tu ambaye ni Jordi Alba. Sijaona wakiwa na option zingine za kumsajili LB.Kuna uwezekano dili la Alonso likafeli