Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuchel anakera sana yaani. Hiv ni kweli haoni madudu ya Kai? Kai ni takataka hafai kucheza pale Chelsea, ni upumbavu kumtetea kisa alifunga goli kwenye fainali ya uefa.
Kai ni takataka. Hana tishio lolote kwa mabeki. TT naye naona anayo matatizo makubwa. Jana nilitarajia Broja angecheza dakika kuanzia ya 75. Broja ni mshambuliaji, angeingia angesaidia sana kuwazuia mabeki kupanda. Labda wana mpango wa kumuuza kabla ya dirisha kufungwa, ndio maana hajachezeshwa.
 
Blues tungeelewa jambo majo kwamba generally matatizo yetu makuu ni haya:

1.Hatuna wachezeji wenye maajabu huyu boraja Mount Odai kai ziechy Gharagha viwango vyao ni timu za kawaida middle table team, hapa hata kama hamtaki kumpongeza TT kutupa results na kumalizia no 3 kuweza kuenda uefa, ila Chelsea haina first class players anae bisha naomba alinganishe forward ya Leicity tulio funga 2-1 na forward yetu ukimuondoa sterling. Verdy Bernes, Tielleman nk utawalinganisha na Kei Mount na Odoi , timu yetu ni mbovu tuna bebwa na kochi.
2. Tactical approach yake ni mpya sana kwa washabiki wa blues lakini nacho jua ulinzi shilikishi una tusaidia kutofungwa haraka kwasbb hatuna talented players mbele ndo maana tunashikilia mpila kwa mda mrefu, kwa mfano Chalobah umuache peke yaka nyuma hapo tutafungwa mpaka basi.

3. Mpeni TT wachezaji wazuri kama wa Manchester utd au Leicity uone kama atatumia ulizi shirilishi tena, Johginio ni mzigo ila ndo anae ongoza team kwa kucheza fault ball kulinda ushindi wetu hatuna mbadala yake mpaka apatikane.

4. Pale tuna wachezaji kama sita tu ambao wanaweza kupewa number kwenye team za maana kama Madrid au Liverpool, James cucu, kante, covici, sterling, Azippe (age) chillwel, Tiago sliva (age) na Merdy, kweli teame yenye first world players sita na unaendelea kumlaumu kochi.

5.Hongera zote apewe kocha kutuwezesha kuendelea kucheza uefa, kama unataka kuhakikisha kwamba timu yetu ni mbovu tuna wachezaji first class 6 tu, neenda ukalinganisha wage structure yatu na team zingine za top 4. Ndo uone kwamba mshahara wetu ni robo ya team zingine.
 
Kai ni takataka. Hana tishio lolote kwa mabeki. TT naye naona anayo matatizo makubwa. Jana nilitarajia Broja angecheza dakika kuanzia ya 75. Broja ni mshambuliaji, angeingia angesaidia sana kuwazuia mabeki kupanda. Labda wana mpango wa kumuuza kabla ya dirisha kufungwa, ndio maana hajachezeshwa.
Yaani pale ni Bora mara 10 angewekwa Batshuayi
 
Hata sisi msimu ulioshia tulimzaba mtu goli tisa. Naamini huna kumbukumbu
Ilikuwa 7-0 sio 9-0
Ktk historia ya EPL timu zilizoshinda 9-0 ni 3 tu
Manchester United dhidi ya Ipswich town 4 March 1995
Tena Man U dhidi ya Southampton 25 Oct 2021
Leicester City dhidi ya Southampton 2 Feb 2019
Na Jana 27 Aug 2022 Liverpool dhidi ya Bonamouth
 
Mimi niko tofauti kidogo kuhusu Kai.

Jana Kai kipindi cha kwanza alikuwa miyeyusho ila kipindi cha pili, aliperform vizuri kiasi chake. Hiyo ni baada ya mason mount kutoka.

Aliinvolve kwenye ile chance ambayo Sterling aligonga mwamba, yeye ndio alikokota mpira kama ya kumpa Cucurella.

Akainvolve kwenye goal la 2, yeye ndo alimpa pasi james James akaassit.

Kulikuwa na mistakes mfano goal la leicester, Kai alituliza mpira vibaya[Alituliza kama Lukaku] Leicester wakachukua mpira na kufanya lile shambulizi na kupata goal.

I think Mount na Kai siyo watu wa kuanza pamoja. Mount aanze kula Bench from next match.
 
Kai ndio aanze benchi sio Mount

Similar Discussions

Back
Top Bottom