Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mpo nafasi ya 10 halafu mnacheza mpira wa kihuni? Redcard tayari, ngoja akili iwakae sawa

Unashabikia timu gani mzee hiki siyo kigenge cha wahuni.

Timu yako ikipata redi card hata dakika ya 60 tu, utashonwa 5.

Lakini siyo kwa chelsea.
 
Waambie masharti ya group, wakija wataje majina, umri na timu wanayoshabikia. wengine hawastahili kuja humu kabisa
 
Chelsea bado haiko ready kucheza back 4 hata baada ya Fofana kusajiliwa kwa sababu ya kukosekana na DM wazuri pale katikati. Ili back 4 iwe protected vizuri either tuwe na DM wawili au mmoja pale katikati ambao wana uwezo wa kukata umeme kwa sababu backline ya 4 inakuwa na CB wawili tu badala ya watatu
SO sisi Chelsea tuendelee na ulinzi shirikishi wa backline ya 5

--------- Kovacic ---------- Kante --------------------

Cucurella ---- Koulibally --- Silva---- Fofana ------ James

----------------------- Mendy -------------------------
 
This is Manchester city ,...ukiscore goal 2 usifikili umemaliza maana tunaweza kukunyukasito au kukucrystopalize
 
Chelsea bado haiko ready kucheza back 4 hata baada ya Fofana kusajiliwa kwa sababu ya kukosekana na DM wazuri pale katikati. Ili back 4 iwe protected vizuri either tuwe na DM wawili au mmoja pale katikati ambao wana uwezo wa kukata umeme kwa sababu backline ya 4 inakuwa na CB wawili tu badala ya watatu
SO sisi Chelsea tuendelee na ulinzi shirikishi wa backline ya 5

--------- Kovacic ---------- Kante --------------------

Cucurella ---- Koulibally --- Silva---- Fofana ------ James

----------------------- Mendy -------------------------
Huwa nasemq hichi kitu, ili turudi kwenye back 4,tunahitaj dm mwnye uwezo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom