We jamaaa unakili za kizamani sanaBrentford 0 Everton 1 Anthony Gordon mchezaji wetu kafunga
Tupo hapa mkuuMmekimbia uzi wenu,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni mwendo wa kula umeme tu.Alianza tuchel kafata koloboi Sasa ni Gallagher anaefata ni Kai [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app