Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nasema tim yetu haina watu wakuamua matokeo,
City game ya 2 mfululizo anatoka nyuma , leo kashinda,
Quality inaamua matokeo.

Tutaendelea hapa kuangaika na kocha ila hatuna watu wa kuamua matokeo. Na ndio shida yetu kubwa iko hapo tunashindwa kumaliza game
 
Chelsea leo wamekuwa wazalendo kweli kweli, pungufu na bado matokeo yakawa mazuri

Sikuweza kucheki baada yaa dk ya 40 ila nadhani tumecheza kizalendo kweli kweli
Vijana wamenifurahisha sana wamevuja jasho kweli kweli ,nimeagiza sharubati ya komamanga iniburudishe .ila nusu ya mshahara wa KAI angepewa James ni wizi kabisa .
 
Nasema tim yetu haina watu wakuamua matokeo,
City game ya 2 mfululizo anatoka nyuma , leo kashinda,

Tutaendelea hapa kuangaika na kocha ila hatuna watu wa kuamua matokeo. Na ndio shida yetu kubwa iko hapo tunashindwa kumaliza game
Galagher leo kacheza vizuri kabla ya kupewa Red, naamini form yake ikirudi yeye na Mount watachangia sana kwenye kuhakikisha Sterling anafunga mabao mengi angalau kabla hatujasajili kiungo mbunifu zaidi yao. Tukipata striker kama Auba japo hatamfikia Haland au wale wa Liverpool lakini angalau tutafunga . Tunaweza fanya vizuri zaidi ya city au Liverpool kama tutaimarisha defense ili hata tukishinda goli moja liweze kulindwa
 
Vijana wamenifurahisha sana wamevuja jasho kweli kweli ,nimeagiza sharubati ya komamanga iniburudishe .ila nusu ya mshahara wa KAI angepewa James ni wizi kabisa .
Hakuna cha kuvuja jasho wala nini ni vile tu Leicester wamekuwa viazi slow football na EPL tutaendelea kucheka mechi 1 ya pili matusi mpaka tuache kucheza kitoto
 
Hakuna cha kuvuja jasho wala nini ni vile tu Leicester wamekuwa viazi slow football na EPL tutaendelea kucheka mechi 1 ya pili matusi mpaka tuache kucheza kitoto
Tuna talented wings na midfields ambazo team nyingine wanatamani kuwa nao ,lakini hapa kwetu hawafungi peleka ziyech,pulisic,Conor ,mount ,odoi team nyingine hata Kwa mkopo January uta terminate hiyo loan nakwambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom