Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni mwendo wa kula umeme tu.
Kabla ya mechi niliwatahadharisha kabisa, hizi kenge Epl zinataka kuigeuza kua ni ndondo cup.
Unapo toa comment kwenye uzi huu hakikisha unashabika team inayocheza champions league ,kwenye uzi huu hatutambui TEAM Trash aka TAKATAKA
 
Hii timu haiwezi kaa na kocha kwa zaidi ya misimu miwili. No fighting spirit
 
Chelsea leo wamekuwa wazalendo kweli kweli, pungufu na bado matokeo yakawa mazuri

Sikuweza kucheki baada yaa dk ya 40 ila nadhani tumecheza kizalendo kweli kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom