Sawa mkuu na kuelewa ila tunahitaji key player tukiwa katika hali ngumu, Mount huwezi kumtegemea kuku okowa kwenye match ngumu kama ya jana, angalau Karvts kwa kiasi,
Ila Mount inahitaji wachezaji wazuri nyuma yake ili aonekani ni average player tu 'just one eyed man among the blind'
ni over rated kwasbb ya uingereza wake, ila msimu ule Kante angekua mchezaji bora au mardy........media na ma gents wa uingereza over rate, Mount ni wa kawaida mno anabebwa tu na team nzima hana individual special talent, Chalsea inahitaji special individuals talented player, hao wengine ni average prayer kutuweka tu kwenye nafasi ya 4 au 3 ila sio kubeba Epl..kwa mfano uliangalia mchezaji wa Newcastle Maxima, ndo hao tunahitaji anabeba teamu zima sio hao wakina Mount, plisic Odoi, zienchy harvts nk.