allypipi naona umepata pa kujifariji
🙂
Leo tumepoteza na tumekula kichapo kweli!
Wale waliosema Lampard alikuwa takataka bila shaka wanaelewa maana ya kusuka kikosi. Sio kazi rahisi hata. Always will appreciate kazi ya Frank ya kututengenezea kikosi. Alikosa mbinu tu na akawa na mahaba kwa baadhi ya wachezaji.
TT ana mbinu ila kikosi kusuka sioni kama anaweza kivile. Ila ndio hivyo tena ndio kocha na tunaye kwa muda ninavyoona!
Cha msingi sisi CFC originale hatuogopi kuwa chini. Maana tangu awali tulikaa sana huko. Ila bado naamini bado tuna uwezo wa kuchukua nafasi tatu za juu. Ligi bado sana hii!