Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,531
- 18,727
Kuna wachezaji huwa nasema hapa tuwasajili ila huwa mnawachukulia poa sana, mwisho wanaonyesha uhatari wao. Hawa ni baadhi ya wachezaji niliowahi kuwasema hapa na kutamani tuwachukue. James Tarkowski huyu huu ni msimu wa tatu nalilia aje kwenye klabu yetu bonge moja la beki, Ivan Toney kila mmoja hapa aliniona sijui mpira baada ya kumtaka huyu badala ya kubwa jinga Lukazigo, Lisandro Martinez huyu nilileta easy yake kabisa kwasasa anakiwasha huko unyumbuni, Savic leo mpka kesho nalilia huyu mwamba aje kwenye klabu yetu, Antony huyu sijui timu yetu ilikwama wap wakati tulikuwa kwenye hatua nzuri ya kumchukua. Hao ni baadhi tu
Leo tena nawambia mchezaji wa kumchukua hasa kwenye nafasi ya kiungo mshambuliaji, Cody Gakpo huyu dogo anacheza nafasi nne kwa ufasaha mzuri kabisa.
Leo tena nawambia mchezaji wa kumchukua hasa kwenye nafasi ya kiungo mshambuliaji, Cody Gakpo huyu dogo anacheza nafasi nne kwa ufasaha mzuri kabisa.