Haya nyumbu kakulamba kaa kwa kutulia.,Undugu na wewe Chelsea tumeanza lini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akiyanani kubamizwa vitatu na Leeds kweli??
Timu yetu haijafikia kwenye huo ubovu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna msiba huko kwenu. Nenda kalilie huko.
Poleni na ninyi, bahati mbaya ulipishana na msiba wenuNdio nilikuja kuwasalimia kuwapa pole majirani wa darajani
Cheki hii takataka ya manjestaa ..Yani kiushindi Cha Jana tu kimeshakupa na uhakika wa kubeba EPL ee 😂😂😂
Waleteee walateeee Kati haoooo pigaaa kuku izooooo ..Ndio nilikuja kuwasalimia kuwapa pole majirani wa darajani
Sema tenaaaUndugu na wewe Chelsea tumeanza lini?🤣🤣🤣
Akiyanani kubamizwa vitatu na Leeds kweli??
Timu yetu haijafikia kwenye huo ubovu😂😂😂😂
Pole pia dogo 😂😂😂Ndio nilikuja kuwasalimia kuwapa pole majirani wa darajani
Hili jukwaa atakata mguu soon. Ni suala la muda tu.Sema tenaaa
Bangi ipigwe marufuku mara kumi!KESHO TUNAHESABIWA WATU WA MANCHESTER UNITED TU NYIE WENGINE TUTAWATAJA KAMA MIFUGO[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Jitihada za kuihalalisha zinakwamishwa na watu kama huyo jamaa Pool table [emoji23][emoji23]. Hilo jina kwanza halipo sober kabisa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Bangi ipigwe marufuku mara kumi!
Wacheza pool wengi ni wavuta bangi, madawa na vibakaKESHO TUNAHESABIWA WATU WA MANCHESTER UNITED TU NYIE WENGINE TUTAWATAJA KAMA MIFUGO[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Pole pia dogo 😂😂😂
Marehemu alikuwa na mdomo
Tuchel kaja january 2021,Mimi naona tatizo ni TT na mbinu zake zisizokuwa na plan B.
Havertz, Werner, Lukaku, Ziyech walikua world class players uko walipotoka na stats zao zilikua za kutisha. Cha ajabu wote wameshindwa kufanya vizuri km walivokua wanafanya walipotoka. Wote walikua wana goal involvements 30+ kwa msimu alaf chelsea wamekuja kupata tabu kua na goal involvements hata 10. Angekua ameflop mchezaji mmoja tungeelewa ila wote hao???? Hatuwezi shinda epl na kocha huyu labda UEFA kule ambako unaweza shinda mechi chache ukafika mpaka fainali