Nimependa ulivyomjibuSawa mkweli.
Nimependa ulivyomjibuSawa mkweli.
Chelseafc wanataka kumsajili Auba kama short plan sasa nashangaa jamaa anavyomganda huyo mchezaji wakeUkweli Auba akiwa form Ni mnyama analijua goli ,sio Siri
Ila mwenzako ameangalia factors Kama umri, kufanya linkup play, hivo vitu Toney anavyo ,Auba Hana
Ila SWALA la finishing Auba hata mechi na Leeds , Spurs mngeshinda .
Huyu anaonekana mtu mzimaNimependa ulivyomjibu
Hichohicho kikosi chetu Lakini tulishinda FA na CarabaoMsimu ule na Huu upo mlikuwa na kikosi kizuri Cha ushindi?
Nadhan kuna kitu umekikosea kidogo hapo kwa Tuchel,Arteta pale arsenal Ni manager Kama alivyokuwa Ferguson au Wenger ,au Pep mancity, anahudhuria vikao vyote vya bodi , ana suggest Nan anamtaka Nani hamtaki, Ndiye aliyewatimua kina Auba,ozil,n.k , tutakuwa naye hapo Arsenal hata miaka 10+
Last season baada ya kupoteza mech 3 , akaletewa mkataba mpya mezani asaini .
Tuchel Ni head coach Hana power yoyote , hawezi kukaa meza moja na wale mabwanyenye , japo Sasa hivi wanataka wampe nguvu kidogo .Muda wowote anaweza kufukuzwa Kama mbwa.kazi yake Ni kufundisha tu, Ndio maana aliletewa kina lukaku ambao hata hawaendani na mifumo yake.
Kwahiyo Unatakiwa ujue Arteta kufukuzwa arsenal Ni Ngumu Sana ,Ni Manager ana total full control,
Yaani wewe Saint unasubiri tu tufiwe ndio uje, mbona ninyi mkifanya vizuri tunakujaga kuwapongeza. Sio vizuri naman hiyo, mpira ni kujenga urafiki ndio maana kila mechi ikiisha makocha wanasalimiana, wachezaji wanabadilishana hadi jezy. Karibu darajani, mpira ni kufungwa, kudroo na kufunga
Jina lake kamili ni Koloboi-Kalabai ni miongoni mwa beki nguli zaidi kuwahi kutokea kwenye history ya soka maana hua anakaba mpaka koromeo.
Tunashida eneo la kiungo na StrikerSababu kuu ya kufungwa jana sio Mendy wala Koulibally sababu ya kusema hivyo hao walifanya minor mistakes
Sababu kuu ni kule mbele na viungo wote kwa uzito mmoja. Kule mbele wangekuwa wakatili na viungo wangekata umeme Chelsea ingeondoka na point tatu hata kama tumefungwa kwa sababu ya uzembe wa Mendy
Timu pinzani zimegundua kuwa forward wetu ni butu na hawana madhara hata wakiachiwa goli tupu. Huu ndio ukweli. hatuna mtu wa kuogopwa pale mbele. Hawa walipo hata ukiwachia goli hawawezi kufanya kitu nisawa na hanidhi umuachie binti aliyepuvu hata kumpa mimba hawawezi. Ndio amana timu pinzani wametuzxoea kama watoto wa shangazi na mjomba. Tungekuwa na Drogba pale mbele nani angetoka golini?
Sisi mashabiki wa Soka tunashukuru kufahamishwa mapema kua Chelsea ni Club iliyojaa makhanithi.Sababu kuu ya kufungwa jana sio Mendy wala Koulibally sababu ya kusema hivyo hao walifanya minor mistakes
Sababu kuu ni kule mbele na viungo wote kwa uzito mmoja. Kule mbele wangekuwa wakatili na viungo wangekata umeme Chelsea ingeondoka na point tatu hata kama tumefungwa kwa sababu ya uzembe wa Mendy
Timu pinzani zimegundua kuwa forward wetu ni butu na hawana madhara hata wakiachiwa goli tupu. Huu ndio ukweli. hatuna mtu wa kuogopwa pale mbele. Hawa walipo hata ukiwachia goli hawawezi kufanya kitu nisawa na hanidhi umuachie binti aliyepuvu hata kumpa mimba hawawezi. Ndio amana timu pinzani wametuzxoea kama watoto wa shangazi na mjomba. Tungekuwa na Drogba pale mbele nani angetoka golini?
Plisic ziechy mount odoi, kwa mfumo wa uchezaji hawana impact yoyote kwenye timu, bora wauzwe hata kwenye hasara tupata nafasi ya kupanga safu ya ushambuliaji hatari, vijana wapo kwenye hizi team za middle table wazuri sanaaTunashida eneo la kiungo na Striker
Viungo tulionao sioni wakutoa assist hata 10,
Kante sio,Kovacic sio,Jorginho sio,RLC sio,
Tunahitaj kuwa na elite creator, vile vile tuwe na proper no 9, pamoja na Rw mzuri kwenye 1v1
Nakuunga mkonoPlisic ziechy mount odoi, kwa mfumo wa uchezaji hawana impact yoyote kwenye timu, bora wauzwe hata kwenye hasara tupata nafasi ya kupanga safu ya ushambuliaji hatari, vijana wapo kwenye hizi team za middle table wazuri sanaa
Watauzwa wote hao bado mzizi wa tatizo unakua haujatatuliwa.Plisic ziechy mount odoi, kwa mfumo wa uchezaji hawana impact yoyote kwenye timu, bora wauzwe hata kwenye hasara tupata nafasi ya kupanga safu ya ushambuliaji hatari, vijana wapo kwenye hizi team za middle table wazuri sanaa
Sijawahi ipenda ManU but this team was a beast!ile combination ya zamani ya Dwight York na Andy Cole wa Man U
Dah, kazi kweli kweli!nyie mashabiki wa chelsea hapa bongo ni baada ya Mourinho
usitake kujifanya umeanza kushabikia zamani wala nini
Hapo nitatofautiana na wewe. Chanzo ilikuwa kocha. Siku ile Kante hakuwa vizuri kwenye kuzuia na alishafanya fatal mistakes kadhaa. Badala ya kum sub, TT akakomaa naye mpaka akasababisha goli. Karudie kuangalia tulivyofungwa.Mendy ndio chanzo mpaka tukatolewa na Madrid Uefa
Msije mkaahirisha tu kuanza ligi leo!Nyie chelwowo mje leo kuona wanaume ndo tunaanza ligi leo sasa.
Mzizi watatizo ni upi? sitaki useme kwamba ni TT,Watauzwa wote hao bado mzizi wa tatizo unakua haujatatuliwa.
Hata Mount unamuweka, kweli wewe umetumwa, mchezaji mwenye uwezo wa kufukisha double digits kwenye magoli na assists kweli na ameprove hivyo. Mchezaji bora kwa misimu miwili iliyokaribiana, misimu mitatu ya first team, mchezaji bora misimu miwili. Futa kauli yako juu ya Mount ama watakuona huelewi sokaPlisic ziechy mount odoi, kwa mfumo wa uchezaji hawana impact yoyote kwenye timu, bora wauzwe hata kwenye hasara tupata nafasi ya kupanga safu ya ushambuliaji hatari, vijana wapo kwenye hizi team za middle table wazuri sanaa