Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,417
Sawa mkweli.wewe ni muongo
nyie mashabiki wa chelsea hapa bongo ni baada ya Mourinho
usitake kujifanya umeanza kushabikia zamani wala nini
Sawa mkweli.wewe ni muongo
nyie mashabiki wa chelsea hapa bongo ni baada ya Mourinho
usitake kujifanya umeanza kushabikia zamani wala nini
Na tayari mmeshapata beki nguli Koloboi na Magwaya yupo njiani.Ukiangalia maongezi ya Tuchel nikwamba hakuna mpango kabisa kusajiri kiungo labda mabeki ndio target yake
Naona mshapata Cha kuongeaChelshitttt![]()
Nyinyi ni suala tu la muda mtaanza kumtukana Arteta wanasema kutesa kwa zamu usimtusi Mamba kabla ujavuka mtoKelele mnazoleta kule gunners najua sasa zitakoma.. london is always red.
Ushaanza utabiri hewaNa tayari mmeshapata beki nguli Koloboi na Magwaya yupo njiani.
Hakika msimu huu mtakua na ukuta mgumu kuliko timu yoyote ya Epl.
Ebu kuwa serious mkuu ni tusi kubwa Sana kutufananisha na man u eti kwasababu tu tumefungwa na leedsChelsea na man u ni kopo na mfuniko
Kwanini msifukuze nyinyi Arteta kwanzaFukuza hii umbwa Tuchel leta Graham Potter.
Huyo mchezaji unayemsifia kamaliza na goal ngapi? Auba ni mchezaji mzoefu na analijua goalChelsea waachane na Auba wamsajili Ivan Tonney
Maoni yangu
Auba ni mfungaji mzuri lakini kama Ivan Tonney atakuwepo katikati, basi Tonney atakuwa na vitu vingi vya kuleta darajani zaidi ya Auba
Eti koloboi ,dah nimefurahi kwakweliNa tayari mmeshapata beki nguli Koloboi na Magwaya yupo njiani.
Hakika msimu huu mtakua na ukuta mgumu kuliko timu yoyote ya Epl.
Wenzako wasiojua mpira watakupinga vikali sana ,ila umeona mbali ,Chelsea waachane na Auba wamsajili Ivan Tonney
Maoni yangu
Auba ni mfungaji mzuri lakini kama Ivan Tonney atakuwepo katikati, basi Tonney atakuwa na vitu vingi vya kuleta darajani zaidi ya Auba
Ukumbuki kipigo kile Cha mbwa koko ulichopigwaga na Aston villaUndugu na wewe Chelsea tumeanza lini?🤣🤣🤣
Akiyanani kubamizwa vitatu na Leeds kweli??
Timu yetu haijafikia kwenye huo ubovu😂😂😂😂
Hapo ndipo naposhindwa kumuelewa TT kawan'gan'gania kai na Mount alafu hakuna chochote wanachofanyaWape nafas wakina pulisic n ziyech ,broja na wenyewe,
Mbona wenyewe wakizingua bench linawahusu, tuko gw3 havertz n mount wamefanya nini mpk sasa hakuna.
Mkishinda Tuchel fundiMtu wa kwanza kutimuliwa pale Chelsea ni kocha, hafai tena kuwa pale.

Tunaongelea msimu hii ulioanza last weekUkumbuki kipigo kile Cha mbwa koko ulichopigwaga na Aston villa
Kwanini Arsenal mnamuogopa Sana Auba 🤣Wenzako wasiojua mpira watakupinga vikali sana ,ila umeona mbali ,
Arteta pale arsenal Ni manager Kama alivyokuwa Ferguson au Wenger ,au Pep mancity, anahudhuria vikao vyote vya bodi , ana suggest Nan anamtaka Nani hamtaki, Ndiye aliyewatimua kina Auba,ozil,n.k , tutakuwa naye hapo Arsenal hata miaka 10+Kwanini msifukuze nyinyi Arteta kwanza
Msimu ule na Huu upo mlikuwa na kikosi kizuri Cha ushindi?
Ukweli Auba akiwa form Ni mnyama analijua goli ,sio SiriKwanini Arsenal mnamuogopa Sana Auba 🤣