Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

allypipi naona umepata pa kujifariji 🙂
Leo tumepoteza na tumekula kichapo kweli!

Wale waliosema Lampard alikuwa takataka bila shaka wanaelewa maana ya kusuka kikosi. Sio kazi rahisi hata. Always will appreciate kazi ya Frank ya kututengenezea kikosi. Alikosa mbinu tu na akawa na mahaba kwa baadhi ya wachezaji.

TT ana mbinu ila kikosi kusuka sioni kama anaweza kivile. Ila ndio hivyo tena ndio kocha na tunaye kwa muda ninavyoona!

Cha msingi sisi CFC originale hatuogopi kuwa chini. Maana tangu awali tulikaa sana huko. Ila bado naamini bado tuna uwezo wa kuchukua nafasi tatu za juu. Ligi bado sana hii!
 
Thomas Tuchel: "Edouard Mendy knows himself. With these kind of mistakes, I don’t know if it is necessary to speak about it. He knows himself and it has nothing to do with protecting him, everybody in the world sees that mistake."

(Chelseafc)
 
4504e78ec7064fbf8c828598e4be51a0.jpg
 
Strikers that failed under tuchel
1.Giroud
2.werner
3. Abraham
4. Lukaku
in just 18 months
Mifumo ya Kocha wenu ,sijui CF gan atafiti hapo

Akijifanya kibri aendelee na Rahim Sterling hapo mbele ,tunaweza kushuhudia Rahim alimaliza michuano yote akiwa na goli 3 , sio utani ,kwa kosa kosa za Rahim Sterling ,tulisema mkabeza,
 
Mpaka Sasa mmetumia £180m lkn hakuna kinachoonekana

Leicester next week anahitaji hata sare , uwezo wa kuipata anao
 
Mifumo ya Kocha wenu ,sijui CF gan atafiti hapo

Akijifanya kibri aendelee na Rahim Sterling hapo mbele ,tunaweza kushuhudia Rahim alimaliza michuano yote akiwa na goli 3 , sio utani ,kwa kosa kosa za Rahim Sterling ,tulisema mkabeza,
Kosa kosa gani na ww umemuandama sterling, Arsenal sahv mnajidai kila kitu mnajua. wakat muda wenu utafika. Hamna timu y kuingia hata top six.
 
Kosa kosa gani na ww umemuandama sterling, Arsenal sahv mnajidai kila kitu mnajua. wakat muda wenu utafika. Hamna timu y kuingia hata top six.
Tulia wewe ,si unaletaga mdomo mrefu Kule jukwaa la Arsenal

Kwan uongo ,Rahim Sterling tuliwaambia anahitaji chance 10 goli 1 ,
Msimu uliopita ulisema tunashuka daraja,hatushangai leo kututoa top 6
 
Tulia wewe ,si unaletaga mdomo mrefu Kule jukwaa la Arsenal

Kwan uongo ,Rahim Sterling tuliwaambia anahitaji chance 10 goli 1 ,
Msimu uliopita ulisema tunashuka daraja,hatushangai leo kututoa top 6
Arsenyeto mna mdomo kama Chuchunge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom