verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,173
- 6,312
Wahuni wamemaliza paktiUmbea wa kwenda jukwaa la nyumbu kukenua tuache.
Tuna timu mbovu sana hatuchekani.
Wahuni wamemaliza paktiUmbea wa kwenda jukwaa la nyumbu kukenua tuache.
Tuna timu mbovu sana hatuchekani.
Tuchel anavyomtumia Gallagher ni tofauti na Viera alivyokuwa anamtumia.Nmefurahi Gallagher kuanza
U can't blame him, Gallagher sio DM,Huyu dogo Gallagher ovyo kabisa. Yani Kante na Mateo kukosekana sijui kama tutakuwa salama
Matokeo umeyaona mkuuBora hata nipo kwenye sensa, hii takataka yetu Leo sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwisha kazi[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2330462
Wahuni sio watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaahhh qmmmmaaaeee mnapelekewa pumzi ya moto na wahuni na hamsemi [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
That's the result of moronic play from Mendy. It cost Chelsea and it's well getting under his skin. Shambolic Chelsea! A game to forget.It frustrates, with heavy investment made by the owner, is this what the players are paying back?
Tuchel hayupo benchLawama leo zipo kwa wote kwa Tuchel na Tim nzima,
Kenge hawa kusikia kwao hadi damu itoke maskioni [emoji23][emoji23][emoji23]
Point yako imkupa furaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Point yangu n kwamba dogo namkubali hvy nafurahi yeye kupata muda uwanjani
Kwan man city alikuwa anamlaza na goal ngapHivi Rahim Sterling yupo uwanjani kweli?
Huyu jamaa anaweza maliza na goli 3 all competition ,