Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Mkuu umeamua kulipa kisasi
Yuko kwa rikiboy anatembezaMtafteni OllaChuga Oc wakuu asije jiumiza huko,View attachment 2330477

Hawana beki hawa wamchukue magwaya chapKenge hawa kusikia kwao hadi damu itoke maskioni![]()
Umeshasema city ,na hii Ni Chelsea
Umeamgalia mpira au umehadithiwa ??Tuchel hayupo bench
UkomeUmbea wa kwenda jukwaa la nyumbu kukenua tuache.
Tuna timu mbovu sana hatuchekani.
Amekimbizwa hana hamu na hawa vijana,yupo hoiiii.Hawa nao si wapige cha 4
Hata akiondoka same story itakuwa, one season tuko vizuri then msim unaofata tunacheza hovyo.TT atupishe kwanza

. 