Wewe shangilia tu kwa nafasi yako sasa hivi. Kila nafsi itaonja umauti. Man City ameshavaa pampers sasa hivi kwa Newcastle 2-1Wanacheshiit hatjamalizaaa
Wana chelshiit hatujamalizaa
Mlete Rahim sterling
Mlete koulibali
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hata sikuelewiUkweli ni kwamba timu sio mbovu kama mnavyodhani shida ni Tuchel na aina ya mfumo anaotumia kuna tetesi zinasema kuna wachezaji hawana furaha
Wachezaji wanacheza out of position unategemea nn kitokee hili haliwezi kufanya kazi unajaza mabeki na viungo kuliko washambuliaji halafu unategemea upate magoli
Point yangu imenipeleka ligi kuu
Hao ambao hawana furaha hata wakipewa nafas hakuna chochote wanachokifanya,Ukweli ni kwamba timu sio mbovu kama mnavyodhani shida ni Tuchel na aina ya mfumo anaotumia kuna tetesi zinasema kuna wachezaji hawana furaha
Wachezaji wanacheza out of position unategemea nn kitokee hili haliwezi kufanya kazi unajaza mabeki na viungo kuliko washambuliaji halafu unategemea upate magoli
Huyo bado sana, ni wa mkopo tuNmefurahi Gallagher kuanza
Hii ndoto ya usajili hadi itimie labda January mwakani.Hao ambao hawana furaha hata wakipewa nafas hakuna chochote wanachokifanya,
Hakuna hata playe 1 utasema hapo mwanzo before tuchel ajaja alikuwa anafunga 15 goals or alitoa 10+ assist
Wote ni homa za vipindi hata wachezeshwe kwenye nafas zao, leo yuko vizuri kesho atakavyocheza utataman umkate makofi, na kibaya zaidi game wanazocheza vibaya ni nyingi kuliko game wanazochezq vizuri.
Ili kurudi back 4
Tunahitaj
New DM
New CB
New CM n AM
Nw Rw anayeweza 1v1
Anzeni Sasa ndio tabia yenu sio Hadi tushindweMkiingia top 4 this season tutaenda haja mji mzima wa Dar kwa sisi Arsenal fans
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ukiona subs ambao wanatarajia kubadili matokeo ni Ziyech na Pulisic (unhappy players) ambao wamaeoneshwa kuwa hawapo kwenye mipango ya TT na wapo sokoni kama mteja atapatikana, ujue hali yetu ni mbaya sana. We'll be a midtable team this season. CF is mandatory. Short of that, tutafungwa hadi tuchakae. Sasa hivi tunayo nakisi ya magoli 2.Ukiangalia city wakat wako nyuma na jins wanavyocheza itoshe kusema itatuchukua mda kuwa kama wao,
Sio mchezaj yeyote anayeweza toa pas kama ya kdb kwa bernardo, or ile ya bernardo to Gundogan
Wachezaj wetu wako predictable, ukute mount apige pass kama ya kdb,itachukua miaka 100
Mkuu vipi magwaya hawafai pale nyumaTT atupishe kwanza
Wakisugua mtawapanga akina nani?Tim nzima imecheza vibaya,
Tuchel leo kazingua,
Tunakazi kubwa ya kufanya hasa hasa dhidi ya tim hizi ndogo,
Havertz ni flop anayetembelea goal la UEFA FAINAL,
Havertz Mount hawa inabidi wiki ijayo wasugue.
















