Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,163
- 5,623
kwani magongo hayatafaa kuongeza urefu!Hivi Kounde si mlisema ni mfupi? Atakuwa ameongezeka kimo come Sept 1? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani magongo hayatafaa kuongeza urefu!Hivi Kounde si mlisema ni mfupi? Atakuwa ameongezeka kimo come Sept 1? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuondoleeni tu. Kuteswa Kwa zamuComedy hii, lol!
Waambie tayari tuna Jorginho kwa kazi hiyo!
Jorginho anatosha kutuchomesha. Hatuhitaji mwingine. Labda waombe Arsenal wawasaidie aisee!Tuondoleeni tu. Kuteswa Kwa zamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani magongo hayatafaa kuongeza urefu!
Wewe ni timu gani kwanzaCheltako yatima fc mkishinda Leo mniite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117]
Huyu kwa huu msongo na jakamoyo, lazima ni Manure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Amechocka kumbeba kila mtu. Amezibeba hata zilizopanda daraja. Uzito unaoubeba bila ridhaa yako huwa ni mzito mno [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wewe ni timu gani kwanza
Kafanya nn tena?Mamamamamayake Mendy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app