Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
Huyo dogo ni bomu kabisa. Timu haikai na mpira... hamna kitu ni bora wabaki 10 uwanjaniNmefurahi Gallagher kuanza
Huyo dogo ni bomu kabisa. Timu haikai na mpira... hamna kitu ni bora wabaki 10 uwanjaniNmefurahi Gallagher kuanza
Wapi OllaChuga Oc mnakufa nyingi huku.Aiseeee
Na bado mtakula vipigo hadi muite Maji mmmmaaaaaJorginho hakuna mtu wa kumbeba
Dah, Gallagher ameshindwa kabisa kuonyesha anastahili.