Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa wahuni leo wanatufanyia ujinga gan uko, au Tuchel hayupo kwenye touchline?
 
Hivi Rahim Sterling yupo uwanjani kweli?

Huyu jamaa anaweza maliza na goli 3 all competition ,
 
Hivi Rahim Sterling yupo uwanjani kweli?

Huyu jamaa anaweza maliza na goli 3 all competition ,

Raheem kilichokuwa kinamweka bench kule City ni kwamba hakuwa katili mbele ya goli, clear chance 10 mpaka 15 anaweza kufunga 1 au kukosa zote.
 
Beki lenu la mchongo speed halina linashika wenzio. Hii ni ya pili sasa linakamata tu.
Pelekea moto hawa mbuzi wa London.😂
 
20220821_164652.jpg
 
From today tuwaoneee huruma hawa watu tuliwapiga 4 pre season wakadai sio competition match but kwa sasa tunaona Arsenal alikuwa serious na Chelsea alipuuzia effect imeanza kuonekana mkiingia top 4 tutajisaidia Dar nzima na dalili ilishaonekana



Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom