Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Mkuu shangaa na wewe? Yan mihemuko ikipanda hasa mchezaji akizingua kidogo unashangaa anaitwa takatakaHahaha[emoji1787] ni uchezaji wake ni takataka au mfumo ndio kikwazo kwake?
Mkuu shangaa na wewe? Yan mihemuko ikipanda hasa mchezaji akizingua kidogo unashangaa anaitwa takatakaHahaha[emoji1787] ni uchezaji wake ni takataka au mfumo ndio kikwazo kwake?
Kabisa , ni mizigo isiyobebekaJoginho na havertz wanapaswa nyofolewa mule ndani.
Wasiwe wanaanza
Je amebeba?Barca anataka abebe cocurela huko[emoji1787][emoji1787]
[emoji599][emoji599]| @gerardromero: “If I say the name of the player's agent meeting with FC Barcelona, a tsunami will occur.”
[emoji599][emoji599]| Mateu Alemany & Joan Laporta are having dinner with a player's agent right now.
@gerardromero [[emoji2422]]
[emoji779]| @gerardromero: “Marc Cucurella's agents are by chance in Barcelona.”
Pole Sana We tangu lini mwamba akaingia cha kike[emoji1787] mnateseka sanaKUNA UWEZEKANO FABRIZIO AKAINGIA CHA KIKEE ?
David Ornstein didn’t tweet a thing about Cucurella after his update this morning… he really is the GOAT.
Cheki hili li arse8 linaropoka ropoka tu Kama limekalia kitu kigumu.KUNA UWEZEKANO FABRIZIO AKAINGIA CHA KIKEE ?
David Ornstein didn’t tweet a thing about Cucurella after his update this morning… he really is the GOAT.
Azp ameongeza miaka miwili mzee au ujui? Labda AlonsoHiyo ni done deal tayari.subiri announce Alonso + azpilicueta wanaenda Barcelona huku Chelsea tukimchukua Dejong
Aiseee[emoji1787][emoji1787] hizi chuki z kumkosaCucurella mmepigwa mazeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et 55 million + ....
Huyo ni average LB ambaye price yake haitakiwi kuzidi £million 30 hata Brighton wamemchukua kutoka getafe chini ya £20 million
Cucu acheze CB n matumizi mabaya ya kiwango chake cucu acheze lb au lcb km Jana alivyoingia ...chilwell naona Bado hayupo ready...------------------------- AUBA ---------------------
STERLING ----- MOUNT ----- BENARDO
----------- KANTE ---- DE JONG-------------
CHIL -- CUCU -- KOULIBALY ---JAMES
[emoji117] Toddy Boehly atuongezee:-
1. De jong
2. Auba
3. Bernado Silva
[emoji117] Hapa TT asipochukua ubingwa EPL, kibarua kiote nyasi
Wewe mtoto kumbe Ni shoga enheeCheki hili li arse8 linaropoka ropoka tu Kama limekalia kitu kigumu.
Kocha nae asifumbiwe macho kisa champions league aliyobeba, tuko too defensive na passive kwenye kufanya mashambulizi mipasi mifupi na slow tunayaendekeza alafu tunaanza kulalama timu zinatupakia basi unafikiri City hawakutani na macontena? Hii inachagiza kuua vipaji vya wachezaji wenye attacking minded jana kuna wakati sterling alikuwa anakaa na mpira isolated yaani hakuna anaekimbia kwenye final third ya adui. kocha asipobadilika kila siku tutaishia kusifia mabeki na tutawaona washambuliaji wote hawafai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi mashabiki tuna matatizo sana. Yan kwa sababu tu jana mchezaji kazingua leo anasemwa takataka tumesahahu hata position anayochezeshwa sio yake, bado huyihuyo mchezaji kunawakati amekua na kiwango kizuri na hakua anatajwa kama takataka.
Hivi kuna takataka kama Pulisic? Nikitaja wengine kuna watu watatamani kumeza simu zao. Sasa hivi Sterling anasifiwa kuna siku atakuja kutukanwa Todd kwa kutuingiza cha kike kumleta Sterling
Sio vyema kutukana mashabiki. Wanaoampinga Wana sababu nzuri tu na wanaomuunga Wana sababu nzuri tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi mashabiki tuna matatizo sana. Yan kwa sababu tu jana mchezaji kazingua leo anasemwa takataka tumesahahu hata position anayochezeshwa sio yake, bado huyihuyo mchezaji kunawakati amekua na kiwango kizuri na hakua anatajwa kama takataka.
Hivi kuna takataka kama Pulisic? Nikitaja wengine kuna watu watatamani kumeza simu zao. Sasa hivi Sterling anasifiwa kuna siku atakuja kutukanwa Todd kwa kutuingiza cha kike kumleta Sterling
Ndio maana nikasema analaumiwa kwa sababu hajacheza position yake halisi. Hata ivyo lembu nadhani umenielewa vibaya hakuna mshabiki niliyemtukana. Nilichomaanisha ni sisi washabiki tuna ukigeugeu wa kuzidi. Hatuna misimamo ya kuelewekaSio vyema kutukana mashabiki. Wanaoampinga Wana sababu nzuri tu na wanaomuunga Wana sababu nzuri tu.
Tatizo la Havertz ana sura nzuri na bado kijana ila kwenye kufunga tangu aje anatuchelewesha na mashabiki wengi hawaangalii sura Wala umri wanaangalia magoli. Sasa kama no mfumo ndio unaomzuia sijui ila Havertz anatakiwa apate competition labda ndio ataongeza speed ya kufunga. Angalau atuoe 10+ goals na 10+ assists Kwa msimu hapo tutamsamehe.
Hapa tuwape leicester
50 + CHO(buy back) tumchukue fofana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi mashabiki tuna matatizo sana. Yan kwa sababu tu jana mchezaji kazingua leo anasemwa takataka tumesahahu hata position anayochezeshwa sio yake, bado huyihuyo mchezaji kunawakati amekua na kiwango kizuri na hakua anatajwa kama takataka.
Hivi kuna takataka kama Pulisic? Nikitaja wengine kuna watu watatamani kumeza simu zao. Sasa hivi Sterling anasifiwa kuna siku atakuja kutukanwa Todd kwa kutuingiza cha kike kumleta Sterling
Itafika kipindi dau lake litakuwa chini ikiwa kiwango chake kimepungua na magiant watawasusia waingereza wanamambo yakijinga Sana ya kupandisha wachezaji wao thamani isioyofanana na viwango vyaoMil 150 nani mjinga wa kuingia kingi
Mbona unatoa Siri zako wewe takataka?!Wewe mtoto kumbe Ni shoga enhee
Munakera mkuu ..limtu linakazania havertz auzwe ..halafu awekwe Nani Sasa? Havertz false nine anakipiga fresh tu mbona.? Hata werner siyo wa kutolewa labda atake yeye mwenyewe kuondoka. Ligi Ni long run kikosi lazimaa kiwe kipana.Huwezi Pinga bila kutukana aisee
Leo OllaChuga Oc umeamua utoe nyongoMunakera mkuu ..limtu linakazania havertz auzwe ..halafu awekwe Nani Sasa? Havertz false nine anakipiga fresh tu mbona.? Hata werner siyo wa kutolewa labda atake yeye mwenyewe kuondoka. Ligi Ni long run kikosi lazimaa kiwe kipana.