lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,700
- 25,935
Lazima atakuwa amekubali kurengetewa mshahara wake
Lazima atakuwa amekubali kurengetewa mshahara wake
Amna alitukanwa hapa Kama unaandika takataka kwanini usiitwe takataka.? Wewe una support Harvetz kuuzwa?Sasa ninyi mlio like hapa ina maana mnapenda matusi sio, hatuwezi pingana kwa hoja bila kukashifiana au kutukanana???. Kila mmoja akipinga jambo na kuachia tusi hili jukwaa litakuwa rafiki
433 atawabeba wawili na nani. Kwenye 433 Jorge atafute kwa kwenda.Kwenye 433 atawabeba wawili bora hii ya kumbeba mmoja
Kwani Kante atacheza mwenyewe, si atakuwepo Kova, Mount na wengineo. Kama hao wapo na sio wa kubebwa kwa nini tt asiwapange kwenye 343?433 atawabeba wawili na nani. Kwenye 433 Jorge atafute kwa kwenda.
Correct list ya kufurmigateLukaku OUT
Werner OUT
Alonso OUT
Barkley OUT
Jognho......
Pulisic.......
Cheek.......
Sarr..........
Ziyech.......
Keppa.......
Huyo Tuchel ni muoga sana sometimes.Kwani Kante atacheza mwenyewe, si atakuwepo Kova, Mount na wengineo. Kama hao wapo na sio wa kubebwa kwa nini tt asiwapange kwenye 343?
Hakuna on earth match ambayo TT alipanga 433 na Liverpool. Hata zile za Karabao na FA final zote zilikuwa 343Huyo Tuchel ni muoga sana sometimes.
Kuna matches tumeshacheza 433 na tuliperform....
Refer match za liver za kwenye ligi msimu uliopita.
Hakuna on earth match ambayo TT alipanga 343 na Liverpool. Hata zile za Karabao na FA final zote zilikuwa 343
Tarehe 28 August 2021
View attachment 2318043
2 January 2022
View attachment 2318050
Kwani we team gani tuanzie hapoHahahaah chel shit mnapingana nyie kwa nyie hahahaa jorginho kamatia hapohapo
Approach za TT huwa zinabadilika, wachezaji wanabadilika, position zinabadilika labda ndio style yakeView attachment 2318073
Okay huenda nimechanganya formation.
Lakini hii approach iliyotumika kwenye hii match, kwanini tunashindwa kuitumia kwenye match zingine.
Hii match hakukuwa na mambo ya pasi fupifupi.
Hii match pamoja na second leg ya robo final uefa against real madrid, ni match ambazo tulipiga mpira mwingi sana.
Wewe unachanganya vitu viwili kuna aina ya uchezaji na kuna mfumo shida yetu sisi sio mfumo ndio unatatizo la hasha tatizo lipo kwenye uchezaji na team inacheza soka zuri pale anapokuwa kovacic na kante pale Kati ila anapocheza jorginho team inakuwa slowView attachment 2318073
Okay huenda nimechanganya formation.
Lakini hii approach iliyotumika kwenye hii match, kwanini tunashindwa kuitumia kwenye match zingine.
Hii match hakukuwa na mambo ya pasi fupifupi.
Hii match pamoja na second leg ya robo final uefa against real madrid, ni match ambazo tulipiga mpira mwingi sana.
Pamoja na Kovacic kuwa nzuri, Chelsea wakimpata upgrade ya Kova anayejua ku break lines Chelsea itakuwa moto hata hao akina Havertz watafikisha 10+ goals and 10+ assists each seasonWewe unachanganya vitu viwili kuna aina ya uchezaji na kuna mfumo shida yetu sisi sio mfumo ndio unatatizo la hasha tatizo lipo kwenye uchezaji na team inacheza soka zuri pale anapokuwa kovacic na kante pale Kati ila anapocheza jorginho team inakuwa slow
CityKwani we team gani tuanzie hapo
Kabla ya city ulikuwa timu gani? possibly Arsenal au Man U!City
No no noooo....big noo...kwan lazma ningekua na Tim kabla ya city??Kabla ya city ulikuwa timu gani? possibly Arsenal au Man U!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kabla ya city ulikuwa timu gani? possibly Arsenal au Man U!