Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pale
Liverpool wana safu ya ushambuliaji nzuri sana
Tulipokuwa tunakazana kuajiri mabeki, wakatucheka eti tunanunua mabasi ya kuja kupaki
Leo hii pamoja na safu nzuri ya ushambuliaji wamenususrika kufungwa, nimefurahi sana
Udhaifu wa Klopp na PEP upo hapo kwenye defense. tukiweza kujengea hapo usishangae msimu huu wakapoteza points nyingi kwa sababu ya defense
Na kama anavyosema Jamie Redknapp tukimpata no. 9 calibre ya akina Diego Costa au Drogba, tumemaliza biashara asubuhi na ndio maana Chelsea wasiache kumleta hata Auba

"Jamie Redknapp insists the Blues 'need a No 9 like Diego Costa or Didier Drogba"
Leipzig kuna watu kama nkunku na mwenzie dani olmo wazuri sana
 
We jamaa kama ulikuwa kichwani kwangu. Huwezi kuamini hapa nilikuwa nasoma makala ya KAI HARVETZ.

Kwamba KAI HARVETZ anakuwa best akicheza Position ipi haswa (Wing, AM, CF).

Nimejaribu kungalia kule Liverkusen na Timu ya taifa alikuwa/anacheza Position gani/ role gani. View attachment 2316948View attachment 2316949View attachment 2316951View attachment 2316952
Formation na uchezaj wa ndani huwa tofauti,

Ukiangalia tim ya taifa unaona kai akicheza f9 huku muller akiwa 10 huku sane na gnarby wakiwa pemben
 
We jamaa kama ulikuwa kichwani kwangu. Huwezi kuamini hapa nilikuwa nasoma makala ya KAI HARVETZ.

Kwamba KAI HARVETZ anakuwa best akicheza Position ipi haswa (Wing, AM, CF).

Nimejaribu kungalia kule Liverkusen na Timu ya taifa alikuwa/anacheza Position gani/ role gani. View attachment 2316948View attachment 2316949View attachment 2316951View attachment 2316952
Chelsea inayo tabia mbaya sana ya kuwachezesha wachezaji kinyume na maumbile (out of position). Wanawapa watu kazi ambazo siyo zao. Ndio maana wanaflop kwasababu adaptation takes time. Time lag inakuwa kubwa halafu wanalaumiwa wachezaji kumbe makocha wanasababisha.
 
Eti kinyume na maumbile😅😅😅😅
 
Timo werner mzuri kuliko kai
Hakuna Cha uzuri. Wamepewa playing time ya kutosha ndani ya misimu miwili wameshindwa kuleta matokeo, watupishe tu. Furaha ya mashabiki kwanza. Tunahitaji kushinda tunahitaji makombe

Matakataka yakishaondoka ndipo timu itaanza kubeba makombe

Kai Havertz msimu ujao lazima naye aondoke arudi Leverkusen.
 
Kabisa , Joginho anazingua Sana , Chelsea hata msimu uliopita hii ilikuwa pia sababu kubwa ya kushindwa kukontend title ,timu inahitaji acceleration kwenda kwenye 18 yard ya timu pinzani Kwa nguvu na kasi kubwa sasa Kwa huyu Joginho ni opposite kabisa
Joginho na havertz wanapaswa nyofolewa mule ndani.

Wasiwe wanaanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom