Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila TT ana kazi ya kufanya kule mbele.

Tukivuka eneo la kati kati kwenda mbele muunganiko unakosekana.

Inakuwa kama tunabahatisha, kusitasita na kujichanganya.

Sterling anafanya kazi kubwa ila hana msaada wa caliber yake.
Sio kwamba tunashindwa chakufanya tunakosa midfielder mbunifu wa kupiga penetration pass
 
Tarkowski ni beki mzuri, solid, physical na anaweza kuzia mipira ya aina nyingi, hewani, chini, kushmbulia, bahati mbaya Chelsea huwa tunaangaliaga tu wale wanaouzwa gali
Nahis kila kocha anawachezaj wake anbao anawataka na hawatochukua mda kuadapt mfumo wake,
Sajil zote tulizozifanya mpk sasa hakuna hata moja tuliosema tumepigwq au tuipe mda, zote zimeonyesha na kitu zimeongeza

Kwa mfumo wa tuchel unahitaj beki anayeweza sogea kuanzisha mashambuliz na si kukaa nyuma asubir kushambuliwa.


Nakumbuka lampard aliwah muhitaj tarkowski watu tukapinga,
 
Sio kwamba tunashindwa chakufanya tunakosa midfielder mbunifu wa kupiga penetration pass
Hii kitu ipo wazi kabisa hata kwa sie tusiokuwa na license ya ukocha yaani midfielder wakuanzisha mashambulizi hayupo hata mbele akija Benzema au Lewandowski watakuwa wa kawaida mno kibaya zaidi msaada wa Jorginho ni kwenye penalty tu ila sio mchezaji wa kuchallenge ubingwa kocha asipolitafutia ufumbuzi hili kila mechi tutaiona ngumu na kuwaongezea pressure mabeki tu unnecessary
 
Chelsea have not only made contacts with Barcelona for Frenkie De Jong, but w/ the player’s camp as well. CFC are ‘ready to go big’ for FDJ. The feeling around Chelsea is that they won’t submit a bid until they get the player’s “Yes”. @FabrizioRomano #Transfers [emoji1179][emoji838]
 
[emoji599] More: As far as Manchester United is concerned, they already have an agreement with Barcelona — but NOT with Frenkie De Jong. They’re still pushing to find a solution on the player’s side, they are desperate. @FabrizioRomano

[emoji860] Another feeling around Chelsea is that they will be able to find an agreement with Barcelona, hence why they want to the get player’s approval first before submitting a proposal to FCB. @FabrizioRomano #Transfers [emoji838]
 
Kumreplace kivipi?

Hao wanatakiwa wacheze pamoja.

Chil --- Kante ---- Jognho ----- James

------- Cucu --- koulibaly ---- Azip-----

Chilwell arudi kwenye ufit wake, huo upande wa kushoto uwe moto

Pia tunatakiwa tumsajili CB mwingine, upande wa kulia uwe moto pia.

Chilwell na James wanatakiwa wawe huru kuserereka mbele kushambulia.
Kwa Sasa ni busara kumreplace ili apate Muda wa kurudi kwenye fitness. Jana alikuwa sloppy hata kama alitupa penalti

Cucurella - Kovacic -- Kanye. - James

---Koulibally - Silva - Azpilicueta ---

---------------- Mendy --------------

Akirudi kwenye fitness ndio hiyo formation yake ifuatwe huku Silva akifanyiwa rotation ili aweze kupumzika na kitufaa zaidi
 
Kuna sehemu umesema kuwa usajili wa Alonso kwenda Barca unahusiana na usajili wa De Jong wakati Tuchel mwenyewe kasema Alonso ndiye aliyeomba kuondoka
Kwa hiyo fahamu hata kama mtafanikiwa kumpata De Jong sio Swap deal na Barca

Sources zako the sun hao ni kama ijumaa wikienda au risasi udaku mwingi
Hakuna tier 1 source yoyote iliyozungumza hiyo habari ya De Jong kuitaka Chelsea
Kama unafuatilia taarifa zangu usingetaja The Sun tu. Taarifa nafanya ulinganifu ndio natoa. Wewe mwenye real news weka hapa na source yake
Wachina Wana msemo usemao
"No data no talk"
Kama huna nyamaza itapendeza zaidi
 
Kumreplace kivipi?

Hao wanatakiwa wacheze pamoja.

Chil --- Kante ---- Jognho ----- James

------- Cucu --- koulibaly ---- Azip-----

Chilwell arudi kwenye ufit wake, huo upande wa kushoto uwe moto

Pia tunatakiwa tumsajili CB mwingine, upande wa kulia uwe moto pia.

Chilwell na James wanatakiwa wawe huru kuserereka mbele kushambulia.
Jana Azpi kacheza vizuri sana. Karudi kwenye Ile legendary form
 
Chief ukimkosoa JOGNHO hapa utaambiwa kazi yake ni anatuliza timu, kupiga pass za nyuma, kushoto na kulia.

Jognho ana madhaifu makubwa sana kwenye kukaba, kasi na kupiga pass za kwenda mbele.

Unavyomuona Kante anahema kwa nguvu na kuchoka + injuries za mara kwa mara, ujue anafanya kazi 3 kwa Pamoja (Kukaba, kushambulia na kumbeba Jognho mgongoni).
Binafsi namteteaga jorginho niwe mkweli Jana kacheza ovyo Sana yeye alikuwa ndio source ya sisi kuzidiwa pale Kati kipindi Cha pili alikuwa amechoka na sijui kwanini kocha akumfanyia sub mapema, alikuwa anapiga back na side pass nyingi kuliko kupiga pass za mbele. But good news sajiri mpya zote zimelipa nimpe pongezi Sana Man city yeye ndio alitufanya tuende kwa Cucurella baada ya kutukatalia Ake, koulibaly yupo vema, sterling good.

NB: Jana walioperform ni wanne tu koulibaly, Thiago silva, Cocurella na Sterling na nimependa sterling kwasababu yeye pekee ndio alionesha fight spirit pale mbele alikuwa anapress, anasumbua mabeki kwa kutake risk sometime bila ya msaada wowote wa mount na kai kwa maana nyingine alikuwa kama anacheza pekee yake
 
Dogo anataka muda wa kutosha uwanjani.
Screenshot_20220807-111926_OneFootball.jpg
 
Ni mchezo wa kwanza kwa namna tulivyo cheza sio mbaya, Everton wamekamia tu sababu ni game za mwanzo ngoja game zifike 5 huko baiskeli za miti zitajulikana tu.

Huyu Cucurella ni ana balaa sana, Broja apewe muda wa kutosha yuko njema, imeniuma sana Gallagher kucheza dakika 2 tu.

Sema Chelsea tuna matakataka mengi sana, mtu kama Havertz ni takataka sana
Hahaa.. yan we jamaa una vituko kwamba Havertz ni takataka?
 
Mkuu usidanganywe na rate anazotoa mtu yeye ni binadamu kama wewe na anamapenzi yake binafsi hivi nikuulize kai na Mount wamefanya Nini mpaka wapewe rate ya 6? Unataka kuniambia Mount na kai wameperform vizuri kuliko sterling?
Swali zuri, akikujibu unishtue. sterling kajitahid sana, jog ni kiazi mbatata anachelewa kutoa pasi au kwnye kutoa pasi ya mbele yeye anatoa back pass, Kuna saa mpk sterling akamaindi, ameshazoea KDB anakua ameshamchungulia akachomoka Jog akaishia kutoa back pass.
Sterling walikua wanamuhangaisha tu, ameshazoea City kuchomoka kwnye backline, chelsea kila akichomoka watu wako bize kupga pass kila akichomoka, hola. chelsea hata akija striker wa aina gani kama kiungo ni Jog bado ni upuuzi mtupu. Tunamuhitaji sana Dejong
 
Mkuu usidanganywe na rate anazotoa mtu yeye ni binadamu kama wewe na anamapenzi yake binafsi hivi nikuulize kai na Mount wamefanya Nini mpaka wapewe rate ya 6? Unataka kuniambia Mount na kai wameperform vizuri kuliko sterling?
Player rating Huwa ni maoni ya mwandishi wa hiyo Malala
Best way ya kurate mchezaji ni kwanza wewe ulimwonaje
Wengine walimonaje. Hapa lazima angalau use na 3 different opinions
 
[emoji1630] THIS DAY IN HISTORY

[emoji2788]One year ago, Chelsea paid inter Milan €100million for lukaku.
Now inter Milan have both Lukaku as their player and the €100m in their account.

Vawulence at work [emoji1][emoji1]
 
[emoji1630] THIS DAY IN HISTORY

[emoji2788]One year ago, Chelsea paid inter Milan €100million for lukaku.
Now inter Milan have both Lukaku as their player and the €100m in their account.

Vawulence at work [emoji1][emoji1]
Acha shobo kijana umesahau na nyie mlivyopigwa kwa Pepe kale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom