Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndio maana nikasema analaumiwa kwa sababu hajacheza position yake halisi. Hata ivyo lembu nadhani umenielewa vibaya hakuna mshabiki niliyemtukana. Nilichomaanisha ni sisi washabiki tuna ukigeugeu wa kuzidi. Hatuna misimamo ya kueleweka
Harvetz juzi alichezeshwa sehemu siyo kama ambavyo amekuwa akitumika. Hata yeye mwenyewe hajui anacheza namba ngapi.

Hata huko Uingereza wazee wa Chelsea wamehoji kuhusu sehemu aliyocheza Harvetz juzi. Kwa hiyo ni TT ndio kazingua, siyo Harvetz.
Screenshot_20220808-065115_OneFootball.jpg
Screenshot_20220808-065315_OneFootball.jpg
 
Ndio maana nikasema analaumiwa kwa sababu hajacheza position yake halisi. Hata ivyo lembu nadhani umenielewa vibaya hakuna mshabiki niliyemtukana. Nilichomaanisha ni sisi washabiki tuna ukigeugeu wa kuzidi. Hatuna misimamo ya kueleweka
Sio wewe, Kuna huyo aliyezaliwa juzi
 
Uyu Kai ndio kwanza ana miaka 22 arafu unajisaulisha kama Kai ndio kafunga goal muhimu fainal ya champion league mudah mwingine kaa kimya sio lazima uwongee
Na hiyo ndio Kinga yake, huwezi mweka chungu moja na Werner au Lukaku
 
[emoji117] Wanasema wachezaji ndio wanatengemeza mfumo wa uchezaji, ila sidhani kama wachezaji ndio wanatengeneza style ya uchezaji ndani ya mfumo husika.

[emoji117] Hivi kweli wadau ina maana wachezaji tulionao ni wa kucheza pass fupi fupi hawawezi kupiga pass ndefu mbele au kucheza counter attacks?

[emoji117] Kweli wachezaji tulionao hawawezi ku-unlock timu pinzani ikiwa imepaki basi?

[emoji117] Changamoto hapa ni:-

1. Mfumo mgumu?
2. Style ya uchezaji ngumu?
2. Wachezaji hawana uwezo?

[emoji117] Kama majibu ni mfumo mgumu/style ya uchezaji ni ngumu kwanini TT abadilishe mfumo au style?

[emoji117] Twende tujaribu 433, 4-4-2 au 4-2-31. Binafsi naona kama mfumo wa 3-4-3 unatufunga wenyewe.

A) 4- 3- 3

Sterling ---- Kai ----- Ziyech

Gallagher --- Kante --- Mount

Cucu -- Koulibaly ---- Silva---James

B) 4-4-2

--------------Sterling------ Kai ------------

Cucu ---- Kante --- Kovacic --- Mount

Chil ---- Koulibaly ---- Silva ------James

C) 4-2-3-1

----------------------- Broja ---------------------

----Sterling--------- Kai -------------Mount

---------------- Kante --- Kovacic -----------

Cucu ---- Koulibaly --- Silva ---James
Mara zote tunapojaribu kubadilisha mfumo matokeo huwa si mazuri,
Mechi ya mwisho ni dhid ya arsenal pre season tuchel alojaribu 4231 na matokeo yake tungeweza hata kupigwa 4 1st half.

Kwa kifupi tim yetu imejaza Quantity na si quality,
 
Huu upumbavu mtaacha lini? Kisa amefunga goli kwenye uefa basi hafai kusemwa sio? Acheni utindio wa ubongo, Kai ni takataka tu
Uyu Kai ndio kwanza ana miaka 22 arafu unajisaulisha kama Kai ndio kafunga goal muhimu fainal ya champion league mudah mwingine kaa kimya sio lazima uwongee
 
Pamoja na watu kulaumu Sana Wachezaji lakini Hili tusilifumbie macho kocha nae analawama zake kupenda kuwachezesha wachezaji out of position kilikuwa kuna ulazima gani kumchezesha winga kai harvert wakati una wachezaji winga halisi odoi, Pulisic na sterling lakini pia hakukuwa na ulazima wowote wakumchezesha sterling no 9 wakati una broja.Jorginho game umemshinda mapema kwanini akumtoa mapema mbona naona nafasi ya kovacic ipo wazi lakini anamkalisha benchi ambaye angetusaidia kupush mashambulizi mbele.

NB: Shida nayoiona mimi sio kwamba ni mfumo ni aina ya uchezaji wetu ni wa ovyo Huu mpira wa pasi fupi sio mpira wakucheza epl tunahitaji kucheza kama ule msimu wa kwanza wa TT alivyochua Uefa tulicheza soka la counter attack
 
[emoji117] Wanasema wachezaji ndio wanatengemeza mfumo wa uchezaji, ila sidhani kama wachezaji ndio wanatengeneza style ya uchezaji ndani ya mfumo husika.

[emoji117] Hivi kweli wadau ina maana wachezaji tulionao ni wa kucheza pass fupi fupi hawawezi kupiga pass ndefu mbele au kucheza counter attacks?

[emoji117] Kweli wachezaji tulionao hawawezi ku-unlock timu pinzani ikiwa imepaki basi?

[emoji117] Changamoto hapa ni:-

1. Mfumo mgumu?
2. Style ya uchezaji ngumu?
2. Wachezaji hawana uwezo?

[emoji117] Kama majibu ni mfumo mgumu/style ya uchezaji ni ngumu kwanini TT abadilishe mfumo au style?

[emoji117] Twende tujaribu 433, 4-4-2 au 4-2-31. Binafsi naona kama mfumo wa 3-4-3 unatufunga wenyewe.

A) 4- 3- 3

Sterling ---- Kai ----- Ziyech

Gallagher --- Kante --- Mount

Cucu -- Koulibaly ---- Silva---James

B) 4-4-2

--------------Sterling------ Kai ------------

Cucu ---- Kante --- Kovacic --- Mount

Chil ---- Koulibaly ---- Silva ------James

C) 4-2-3-1

----------------------- Broja ---------------------

----Sterling--------- Kai -------------Mount

---------------- Kante --- Kovacic -----------

Cucu ---- Koulibaly --- Silva ---James
Backline ya 4 maana yake unapunguza mabeki nyuma ili utumie winga kule mbele na kuongeza mchezaji mmoja
Sidhani kama tunaweza hiyo. Angalau tungekuwa na forwards na striker wa kuawafanya mabeki wawe bussy kwenye final third kama enzi za Drogba, Costa ingekuwa poa. Lakini kwa hawa fowards na striker wetu wasio na touches kule mbele inafanya mashambulizi mengi yaje kwetu sasa hao mabeki punbgufu hawataweza. Tutaenda na 343 mfumo wa kujihami hadi tuwapate hao wenye sifa hizo kule mbele. Mfano Droga anaingia Anleka au Costa

CAM anakuwepo Modric au Kamavinga, Pembeni anakuwepoo Sterling na Kulia anakuwepo Mount akiwa kwenye form

Yaani hawa hapa

--------------- Striker---------------

----AM--------- CAM -------------AM
 
Munakera mkuu ..limtu linakazania havertz auzwe ..halafu awekwe Nani Sasa? Havertz false nine anakipiga fresh tu mbona.? Hata werner siyo wa kutolewa labda atake yeye mwenyewe kuondoka. Ligi Ni long run kikosi lazimaa kiwe kipana.
Sasa ninyi mlio like hapa ina maana mnapenda matusi sio, hatuwezi pingana kwa hoja bila kukashifiana au kutukanana???. Kila mmoja akipinga jambo na kuachia tusi hili jukwaa litakuwa rafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom