Chelsea kwenye suala la kuuza na kununua wachezaji sijui huwa tunakwama wapi. Tunauza wachezaji wazuri sana kwa sababu za kipumbavu kabisa, kisha tunanunua wachezaji matakataka tu.
Huyu Fofana anakuja kufanya nini Chelsea!? Tena tunatoa hela nyingi kiasi hicho, aisee acha tupigwe tu maana bodi imejaa upumbavu sana.
Milan Skriniar huyu beki tumeshindwa nini kumsajili? James Tarkowski huyu beki ni msimu wa tatu namuongelea hapa, ni moja ya beki mzuri sana ni vile tu alikuwa Burnley akashindwa kuongelewa. Tarkowski anauzoefu mkubwa kwenye ligi kuu Uingereza toka msimu wa 2016/17 mpaka sasa. Burnley imeshuka daraja tulishdwa nn kumchukua huyo mwamba tena alikuwa anapatka bure kabisa, tumekalia kuchukua matakataka tu.