Lol uwongo n banter hizi| FC Barcelona are interested in resigning Marc Cucurella; talks have begun with him in recent weeks & the club wants to be in the pole position, as Xavi wants a top LB this summer.
@fansjavimiguel []
Waje, safari hii tutawaoiga ngumi ya puani| FC Barcelona are interested in resigning Marc Cucurella; talks have begun with him in recent weeks & the club wants to be in the pole position, as Xavi wants a top LB this summer.
@fansjavimiguel []
Chilwell looks a moribund until he regains his fitness. Fitness yake is questionable kwa sasa. Ningekuwa mimi yaani nalipa £50m bila kusita kwa Marc Cucurella. Cucurella ni upgrade kwa left back wetu wote waliopo. Na hiyo ni nafasi muhimu sana ili kusupply mipira kwa Raheem Cucurella akicheza kama wingback.Ila huyu hatakiwi Chelsea, sehemu yenye shida ni RB
Kama Azpilicueta yupo tuachane na RB au LB twende kwenye CB, DM na striker au winger mmoja
Mashabiki wa Chelsea ndio mashabiki Bora zaidi kuwahi kutokea katika Karne hii pengine hakuna ma fans Bora zaidi watatokea zaidi yetu.
Kwa TT haiti LB Anaita Left Winga-back au LWB ambaye anacheza kama LB na LWChilwell looks a moribund until he regains his fitness. Fitness yake is questionable kwa sasa. Ningekuwa mimi yaani nalipa £50m bila kusita kwa Marc Cucurella. Cucurella ni upgrade kwa left back wetu wote waliopo. Na hiyo ni nafasi muhimu sana ili kusupply mipira kwa Raheem Cucurella akicheza kama wingback.
Huyo cucurella anaenda Barcelona,muwe mnaacha kukulupukia deals za watu,wakati city tunamtaka Barcelona hawakuleta mdomo ,hivi Barcelona mliwafanya ninHizi tetesi ziemzidi na zinatia moyo kumbe kuna kitu kinafanyika
- Cucurella ni LWB mzuri sana atakuwa upgrade nzuri ya Alonso ili aondoke kwa amani ila tutampata kwa gharama ya kumpoteza Levi Colwill
- Fofana ni mzuri japo mimi naona ni bora tungembakiza Levi Colwill
- Josko Gvardiol ni CB mzuri tusimuache
- Frenkie De Jong ni mzuri ataziba udhaifu wa midfield yetu kwa kuwa na rotation nzuri ya De Jong, Kante, Kovacic, Mount, Gallagher na Jogninho wanaobaki tuwauze (Barkley, RLC, Billy etc)
- Sijasikia kuhusu RWB
Ni ngumu sana kwa chelsea kupata mchezaji ambae anatakiwq na barcelona au madrid ,, ila ni rahis sana kupata mchezaji ambae anatakiwa na man city au arsenal...Bado boss wenu hajifunzi tu, ,badala amalizane na mchezaji Kwanza, yeye anaanza na timu
Huyo cocurela Ni simu moja TU ya pep au Laporta inavuruga kila kitu
Pep alishamalizana nae ,,dau TU ndio city kagoma kupanda , ila alisha request KUONDOKA aende city .
Sasa mnamalizana na Brighton ,halafu mje kwa mchezaji ,mkute city au Barcelona wamemshikilia
Tunasajili Cucurella na Josko. Tunauza Alonso, Emerson na Azplicueta. Habari ya nyuma inakuwa imeisha.Sajili tunazofanya zisiwe za kuziba nafasi bali ziwe za kujenga timu ya ushindani wa Kombe EPL.
Sajili za kuziba nafasi ni nikuongeza mizigo kwenye timu
RWB kuna mahali wanazungumzia Adama Traore. Na kwamba TT is a huge fan of him.Hizi tetesi ziemzidi na zinatia moyo kumbe kuna kitu kinafanyika
- Cucurella ni LWB mzuri sana atakuwa upgrade nzuri ya Alonso ili aondoke kwa amani ila tutampata kwa gharama ya kumpoteza Levi Colwill
- Fofana ni mzuri japo mimi naona ni bora tungembakiza Levi Colwill
- Josko Gvardiol ni CB mzuri tusimuache
- Frenkie De Jong ni mzuri ataziba udhaifu wa midfield yetu kwa kuwa na rotation nzuri ya De Jong, Kante, Kovacic, Mount, Gallagher na Jogninho wanaobaki tuwauze (Barkley, RLC, Billy etc)
- Sijasikia kuhusu RWB
Jidanganye ,labda watu wasiamue kukazaNi ngumu sana kwa chelsea kupata mchezaji ambae anatakiwq na barcelona au madrid ,, ila ni rahis sana kupata mchezaji ambae anatakiwa na man city au arsenal...
Aende tu. Hatukuwahi kuwa naye, kwa hiyo hatutafeel tumepoteza kitu. Barca tumewanyanyasa sana UEFA tangu Xavi akiwa mchezaji, kwahiyo sasa anafanya retaliation.Huyo cucurella anaenda Barcelona,muwe mnaacha kukulupukia deals za watu,wakati city tunamtaka Barcelona hawakuleta mdomo ,hivi Barcelona mliwafanya nin View attachment 2311534
Huyu dogo anakaribia kwenda Chelsea ,nadhan Pep amesimamia msimamo wake hawez kuzid £40mHuyo cucurella anaenda Barcelona,muwe mnaacha kukulupukia deals za watu,wakati city tunamtaka Barcelona hawakuleta mdomo ,hivi Barcelona mliwafanya nin View attachment 2311534
Tatizo Chelsea wanaongea na Brighton badala wamface cucurella mwenyeweHuyu dogo anakaribia kwenda Chelsea ,nadhan Pep amesimamia msimamo wake hawez kuzid £40m
Na Barcelona hawajatia gia namba 2 ,
Ila wanajua watakuja kumchukua muda wowote ,
| Marc Cucurella told @CatalunyaRadio:
“I would really like to return to FC Barcelona one day.”


Yale Yale ya Raphina