Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi nashauri pia kocha asimamishwe kazi
Naona ameanza kuongea vibaya kwenye media kuhus wachezaji.
Hata kama mchezaji anakosea ukimkosoa kwenye media ni sawa umewaudhi wote kwa sababu wachezaji dressing room wanakuwa kama watoto wa mama mmoja, wanapendana, wanateteana. wakiamua kususa wanasusa pamoja. hii hali tukianza nayo EPL tutafungwa sio wka sababu tuna wachezaji wabovu ila morale itakuwa chini

Nashauri Kocha abadilishwe

Zoezi la kuwaondoa matakataka liende sawa na la kumbadilisha kocha kwa sababu mahusiano yake na wachezaji baadhi sio mazuri

Tuanze upya kila kitu
Huna akili
 
Hebu angalieni kaptura zetu zilivyochanika makalio. Kamebaki kale ka mkanda ka katikati [emoji3064][emoji3064]
Screenshot_20220724-121911_OneFootball.jpg
 
Huwezi kupinga hoja bila kutukana!!
Hamna hoja hapo hapo kusema tuchel kufukuzwa Lisa eti Jana tumefungwa 4 umekosea sana.tuchel ni Kocha mzuri Sana mbona Liverpool walifungwa 4 msimu uliopita walikosa kuchukua EPL na uefa je kocha wao afukuzwe?
 
According yo Daily Mail, Boehly anatarijiwa kuondoka leo kwenda Lagos-Ureno kukutana na Mkuregenz wa ufundi wa Sevila Monchi juu ya swala zima la Kounde
Duh huyo tayari Ni mchezaji wa barca anaweza katambulishwa kuqnzia kesho
 
Kounde to Chelsea done deal [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kounde to Chelsea done deal [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuishi kwa matumaini kupo bro. Hadi atangazwe Barca ndio tujue tumemkosa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom