Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1379674717.798332.jpg .....

"Jose, it is Abramovich here!
Listen,..you better win against Fulham or I will bring back Avram Grant, OK?!"
 
Crisis .... .... .. what crisis ...
Khe khe khe khe khe keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Chelsick are without a win in four games
- against Manchester United, Bayern Munich, Everton and Basle
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hamjambojamboni wenye nyumba humu!? Nasikia hamjala ubwabwa siku nyingi kidogo ndio maana wengi wenu mmenuna 🙂🙂 Haya nilipita kuwasalimia tu. Msimlaumu dobi kaniki ndiyo rangi yake hiyo.
 
Hamjambojamboni wenye nyumba humu!? Nasikia hamjala ubwabwa siku nyingi kidogo ndio maana wengi wenu mmenuna 🙂🙂 Haya nilipita kuwasalimia tu. Msimlaumu dobi kaniki ndiyo rangi yake hiyo.

The forgotten one mata .. Leo pia bench nadhani
 
CHELSEA TEAM NEWS - LUIZ AND MATA NOT EVEN ON THE BENCH!!!!
Team to play Fulham: Cech; Ivanovic, Cahill, Terry (c), Cole; Ramires, Mikel; Schurrle, Oscar, Hazard; Eto'o


SUBS: Schwarzer, Azpilicueta, Essien, Lampard, De Bruyne, Willian, Torres


  • Mourinho says Mata not in squad because "has to fight & work for his opportunities." says mata performances this season "not convincing"



[/LIST]


  • Juan has to fight and work for his opportunity. He played against Everton, he played against Basel and his performance wasn't enough convincing to leave other players out. David is a simple technical decision. I didn't like so much his game against Basel. I believe after two defeats the team needs some stability positionally, but especially emotionally. I think John (Terry) can help us to get that.​
 
Tinamchubiri Mungiki Brother alete pics na peas of ants wajitokeze mambo ya kuwa Invisible wakati wanapiga kitale hayana tija waje hapa wale matapishi yao oops naona Mentor i n g I d i o t s anakuja na pics khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


article-2426859-18254D0E00000578-119_964x390.jpg



article-2428023-1BE8BBD4000005DC-401_634x429.jpg


Frozen out .... ....
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


 
Jamaa ana roho mbaya sana...Angetuuzia Ba tungekuwa tishio kubwa sana katika ngome yoyote ile EPL. Maana hii list ya washambulizi tuliyokuwa nayo ukamuongeza na Ba, tungetisha sana.

Ba pia benchi hayupo. . wangetuuzia tu 🙂😀
 
Ili abadilike anatakiwa kocha alieucheza mpira na kuzijuwa Mbinu za Soka...
Huyu gagulo hana analoweza zaidi ya huko kupaki Basi ili azuie.
Sasa wenzie siku hizi wana shortcut

The fact kwamba mtu alikuwa mchezaji mzuri does not necessarily mean that atakuwa kocha mzuri.

Graeme Souness, one of the best Liverpool players, alishamkandia Mourihno kuhusiana na hilo ulilolisema.

Mourinho alimwuliza swali moja mpaka leo Souness kimyaaaa.
 
Crisis .... .... .. what crisis ...
Khe khe khe khe khe keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Chelsick are without a win in four games
- against Manchester United, Bayern Munich, Everton and Basle

The most interesting thing ni kwamba Mikel has scored kabla hata Arsenal kujishindia kikombe cha aina yoyote ile.

If Chelsea are without four wins but they are on the top of the table, then questions must be asked for the teams teams underneath.
 
Your rights mkuu benitez aliitengeneza timu vizuri sana na alifanikisha kuwatumia Vizuri sana Hazard, Mata Oscar but Mourinho kaja na mbwembwe zake hatak kuwatumia hao jamaa wote watatu matokeo yake anawaza kupaki basi na kupiga pasi 2 hadi goli la mpinzani.

Nope! Objectively, Rafa na AVB hawakutengeneza a true winning team. In fact, Rafa alitaka kumweka bench Mata kwa sababu as a tactical coach alijua kuwa Mata does not defend.

Pia alianza kumweka bench Hazard kwa sababu alikuwa ha-track back. Kama ilivyo Mourinho, Rafa alikuwa anampenda Oscar zaidi. Tofauti na Mourinho, Rafa alikubali presha ya media na kuanza kuwachezesha wote.

Lakini ni ukweli mtupu ni kuwa kama Mata yuko kwenye timu, timu inakuwa na wachezaji 11 wakati inashambulia na wachezaji 10 wakati inashambuliwa. Mata does not track back. Ndiyo maana Chelsea haijafanya vizuri in the past few years.

Jaribu kuwaagalia Barca. Wakipoteza mpira wachezaji wote huwa wanautafuta. Lakini Chelsea walikuwa wanasubiri mpaka timu pinzani ifanye makosa, then wafanye counter attack. Timu kama Chelsea siyo timu ya kufanya counter-attack, bali ya kucheza mpira.

Ukiangalia watu wengi wanaokandia system anayotaka kuanzisha siyo wafuasi wa Chelsea na wangependa Chelsea iendelee na system yao ya zamani kwa sababu ingekuwa rahisi zaidi kuifunga.
 
Jamaa ana roho mbaya sana...Angetuuzia Ba tungekuwa tishio kubwa sana katika ngome yoyote ile EPL. Maana hii list ya washambulizi tuliyokuwa nayo ukamuongeza na Ba, tungetisha sana.
BAK wewe ni Asenali damu and be honest. Ungependa Ozil acheze kama alivyokuwa anacheza kabla ya kwenda Madrid au acheze kama alivyokuwa anacheza wakati akiwa Madrid and why?
 
Last edited by a moderator:
Mie napenda acheze kiarsenal na kwa kiwango cha juu kabisa kuliko huko kote alikopita na kutuwezesha kutimiza ndoto zetu za miaka mingi sasa.

Unajua kitendo cha RM kutomthamini na kumuacha aondoke kwa kuwa wamepata kitu kipya inaweza kumpa Ozil motivation kubwa sana akacheza katika kiwango ambacho wote tuliokuwa tunamfahamu miaka ya nyuma hatujawahi kukiona.

BAK wewe ni Asenali damu and be honest. Ungependa Ozil acheze kama alivyokuwa anacheza kabla ya kwenda Madrid au acheze kama alivyokuwa anacheza wakati akiwa Madrid and why?
 
Mie napenda acheze kiarsenal na kwa kiwango cha juu kabisa kuliko huko kote alikopita na kutuwezesha kutimiza ndoto zetu za miaka mingi sasa. Unajua kitendo cha RM kutomthamini na kumuacha aondoke kwa kuwa wamepata kitu kipya inaweza kumpa Ozil motivation kubwa sana akacheza katika kiwango ambacho wote tuliokuwa tunamfahamu miaka ya nyuma hatujawahi kukiona.

Kucheza bila ku-tack back? Nimeona mechi za juzi hapa alikuwa ana track back.

Bila kudefend itawachukuwa Arsenal miaka kuwin the league. Tuanze na mechi ya leo dhidi ya stoke.
 
Nope! Objectively, Rafa na AVB hawakutengeneza a true winning team. In fact, Rafa alitaka anataka kumweka bech Mata kwa sababu as a tactical coach alijua kuwa Mata does not defend.

Pia alianza pia kumweka bench Hazard kwa sababu alikuwa ha-track back. Kama ilivyo Mourinho, Rafa alikuwa anampenda Oscar zaidi. Tofauti na Mourinho, Rafa alikubali presha ya media na kuanza kuwachezesha wote.

Lakini ni ukweli mtupu ni kuwa kama Mata yuko kwenye timu, timu inakuwa na wachezaji 11 wakati inashambulia na wachezaji 10 wakati inashambulia. Mata does not track back. Ndiyo maana Chelsea haijafanya vizuri in the past few years.

Jaribu kuwaagalia Barca. Wakipoteza mpira wachezaji wote huwa wanautafuta. Lakini Chelsea walikuwa wanasubiri mpaka timu pinzani ifanye makosa, then wafanye counter attack. Timu kama Chelsea siyo timu ya kufanya counter-attack, bali ya kucheza mpira.

Ukiangalia watu wengi wanaokandia system anayotaka kuanzisha siyo wafuasi wa Chelsea na wangependa Chelsea iendelee na na system yao ya zamani kwa sababu ingekuwa rahisi zaidi kuifunga.

Tatizo Rafa hawakumpenda personal but he was the best aliweza kuwaaccomodate wote (Mata,Oscar,Hazard) na wote waliperform.Mata anaweza asiwe mzuri kukaba but kwenye timu sio lazima wote wakabe kuna kuwa na mtu mmoja free mfano Ozil Madrid,Silva City,Messi Barca

Sometimes unacheza na WestHam/Sunderland unahitaji kucheza kutafuta ushindi huna haja kucheza kudefend so why kuchezesha all defensive players?

Chelsea hawajafanya vizuri past years kwa sababu ya Mata? Ambaye for last two season ndio mchezaji bora wao
 
Mata atabadilika na atajifunza chini ya Jose. Kama Joe Cole aliweza kubadilika naamini Mata pia atafanya hivyo, ni ishu ya muda tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom