MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 512
Naismiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiith :heh:
Tulishawaambia hii timu ilikuwa inamfaa Benitez
Mtasema sana mwisho mtalala mtakapoona makombe yananyanyuliwa. Sisemi zaidi...!
Absolutely poor performance, we deserved to lose the game tonight. Basel hawakuwa wazuri, lakini tulikuwa wabovu. Jose ana kazi kubwa sana mbele yake, tuko mbali sana na viwango vya ubingwa iwe EPL au CL.
Anachoweza Mourinho ni kupaki bus,kushinda mechi imekuwa kazi ngumu sana kwake
Tulishawaambia hii timu ilikuwa inamfaa Benitez