Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
Soka ni mchezo unaohitaji kushambulia na kukaba ili timu iweze kushinda. Timu yoyote na yenye mafanikio ni lazima iwe na balance kwenye attack na defence ndio maana Arsenal wamekuwa vilaza kwa misimu tisa sasa.
Hahahahaiahahahahaha washabiki walioanza kudeal na mpira under abromovic era bhana!? Anyway turud kwenye mada, umeongelea kuhusu balance kati ya attack na defence kwamba ni vitu ambavyo vinatakiwa kuwa sawa but ni ukweli kuwa mourinho anaamin katika defence kwanza kwamba kama ni mgawanyo katika asilimia basi under mourinho defence inakuwa high kuliko attack na hii ndio sababu kwa wachezaji aina ya mata kupata shida under Jose.
Mata ni mchezaji ambaye amezoea kucheza kama free player na anashambulia zaidi kitu ambacho mourinho hakitaki.