Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea-v-Basel-Ashley-Cole-dejected-pa_3005741.jpg

The losers are .... ..... ... .
 
.......kila msiba una mwenzie,
Poleni sana wakuu....
Mliupenda ushindi ila Waswidi wameupenda zaidi 😣
 
Hiyo issue ya kuaki basi ni over-reaction . Mourinho ameweka rekodi ya points Engalnd na Spain kwa sababu magoli ndo yanazaa points, na hauwezi kufunga magoli kama unapaki basi. Jose ni kocha mzuri lakini kwa sasa anahitaji kujua kwamba timu hii si ile aliyoacha, na hawezi kutumia mbinu zilezile kwa sababu mentality, uwezo, na skills za wachezaji ni tofauti. I am sure we will be ok atakapoona baadhi ya issue. Nafikiri anafanya maamuzi mabaya kuhusu Mata vibaya.

Ni kweli mkuu.. Benitez alitengeneza cohesion nzuri ya Mata-Oscar-Hazard.... Mouth-rinho ameisambaratisha, hope atang'amua kitu, otherwise time inacheza vibayw sana.
 
chelsea ya sasa bila mata inapata shida sn kupenyeza ngome pinzani. mou ni mbishi na asipomkubali na kumpanga mata hata top four kwake itakuwa ngumu
 
Hiyo issue ya kuaki basi ni over-reaction . Mourinho ameweka rekodi ya points Engalnd na Spain kwa sababu magoli ndo yanazaa points, na hauwezi kufunga magoli kama unapaki basi. Jose ni kocha mzuri lakini kwa sasa anahitaji kujua kwamba timu hii si ile aliyoacha, na hawezi kutumia mbinu zilezile kwa sababu mentality, uwezo, na skills za wachezaji ni tofauti. I am sure we will be ok atakapoona baadhi ya issue. Nafikiri anafanya maamuzi mabaya kuhusu Mata vibaya.
Hana jipya, kazi kuchonga ktk front page za magazeti, na this weekend hachomoki
 
Hiyo issue ya kuaki basi ni over-reaction . Mourinho ameweka rekodi ya points Engalnd na Spain kwa sababu magoli ndo yanazaa points, na hauwezi kufunga magoli kama unapaki basi. Jose ni kocha mzuri lakini kwa sasa anahitaji kujua kwamba timu hii si ile aliyoacha, na hawezi kutumia mbinu zilezile kwa sababu mentality, uwezo, na skills za wachezaji ni tofauti. I am sure we will be ok atakapoona baadhi ya issue. Nafikiri anafanya maamuzi mabaya kuhusu Mata vibaya.

Hapa umenena, Chelsea hawana tatizo la quality players wala Depth ya kikosi.Tatizo falsafa anayolazimisha Mournho haifanyi kazi kwa wachezaji waliopo..
Asipobadilika Mna Wakati mgumu sana...Angalia wachezaji wa viwango waliopo mpaka benchi??
Ahaaaaaaaa hizi sio zama za Akina Makelele,Callas atengeneze timu ya kutengeneza nafasi na kushambulia wachezaji wa kariba hiyo wapo.
 
Ili abadilike anatakiwa kocha alieucheza mpira na kuzijuwa Mbinu za Soka...
Huyu gagulo hana analoweza zaidi ya huko kupaki Basi ili azuie.
Sasa wenzie siku hizi wana shortcut
 
Anatuchafulia heshima ya london huyu choko..
Tushazoea fc basel kuchukua point kule manchester lkn sio pale mjini...
Abramovic:usilaze damu,mtimue huyo kenge ili u-secure timu yako..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom