Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea hawajafanya vizuri past years kwa sababu ya Mata? Ambaye for last two season ndio mchezaji bora wao

Nadhani the fact that alikuwa the best player for two consecutive seasons ndo inawazingua watu.

Being the club's best player of the season is nothing if the team does not win trophies.

At the end of the season is not whether a particular player played better than another but whether the whole team played better.

As a team, Chelsea has not played well in the last couple of seasons. Every Chelsea supporter will agree to this regardless of whether Mata was the player of the season.

Wakati baadhi yenu mnataka Mata aendelee kucheza level ile ile, wengine wanataka aimprove zaidi.

Personally, when I was watching Mata playing I thought he was a very skilled player, but also thought there was something missing in him. The same to Hazard, though yeye ameimprove.

If Mata is professional enough should accept the constructive criticisms given by his coach and improve his game.

If Mata really wants to be a regular in the Spanish national, he will have to improve his game and track the ball kama wanavyofanya akina Xavi na Iniesta.

Nyie mnaojifanya kumsifia Mata hamumtakii mema. He has got some weaknesses and must improve on them. I think Mourinho wants to get the best out of him kama alivyofanya kwa Joe Cole.

Kama Chelsea wanataka wawe kama Arsenal without trophies basi wawaache akina Mata na Hazard wacheze kama wanavyotaka wao.

Si mliona Sagna jana? He was all over the place. Lakini baada ya kufunga lile goli mashabiki wa Arsenal kimyaaaaaaaaaa. Wamesahau kabisa kuwa he was actually the weakest link.

Sidhani kama Mourinho ni wa type hiyo. Nakumbuka Joe Cole scored the winning goal against liverpool in the last minutes but still received unprecedented criticisms from his coach.

A team which does not defend will never ever win the league. Even Mikel will score before this team wins the league. Sina haja ya kuitaja. Wenyewe wanaijua.
 
Nadhani the fact that alikuwa the best player for two consecutive seasons ndo inawazingua watu.

Being the club's best player of the season is nothing if the team does not win trophies.

At the end of the season is not whether a particular player played better than another but whether the whole team played better.

As a team, Chelsea has not played well in the last couple of seasons. Every Chelsea supporter will agree to this regardless of whether Mata was the player of the season.

Wakati baadhi yenu mnataka Mata aendelee kucheza level ile ile, wengine wanataka aimprove zaidi.

Personally, when I was watching Mata playing I thought he was a very skilled player, but also thought there was something missing in him. The same to Hazard, though yeye ameimprove.

If Mata is professional enough should accept the constructive criticisms given by his coach and improve his game.

If Mata really wants to be a regular in the Spanish national, he will have to improve his game and track the ball kama wanavyofanya akina Xavi na Iniesta.

Nyie mnaojifanya kumsifia Mata hamumtakii mema. He has got some weaknesses and must improve on them. I think Mourinho wants to get the best out of him kama alivyofanya kwa Joe Cole.

Kama Chelsea wanataka wawe kama Arsenal without trophies basi wawaache akina Mata na Hazard wacheze kama wanavyotaka wao.

A team which does not defend will never ever win the league. Even Mikel will score before this team wins the league. Sina haja ya kuitaja. Wenyewe wanaijua.
Mourinho ni kocha anayapenda defensive players na Mata ni offensive player hii ndio sababu kubwa ya kumweka benchi lakini kwa position yake Mata hajashuka kiwango.Hazard alikuwa anashambulia sana last season nafikiri unakumbuka alivyoanza na moto na alisema msimu huu atafunga na kuassist magoli mengi but since JM amekuja amemwambia asishambulie sana sidhani kama kuna assist alitotoa au kufunga goli,kwa hiyo msimu huu Hazard ameimprove ?

Then huwezi kumlazimisha Mata awe Xavi/Iniesta ni sawa na kumlazimisha Wellbeck afunge kama Messi haiwezekani
 
Good results but we have two injuries from the same game, Marco van Ginkel and Ramires.
 
Then huwezi kumlazimisha Mata awe Xavi/Iniesta ni sawa na kumlazimisha Wellbeck afunge kama Messi haiwezekani

Kama hataki kuwa a complete player bora ahamie timu ambayo zina philosophy tofauti.

Kama hataki kuwa kama Xavi au Iniesta then humtakii mema kwa sababu he will not be a regular not only in Chelsea squad bali pia kwenye timu ya taifa ya Spain.

Kama mchezaji hafiti au hataki kufiti kwenye philosophy ya team, then he is not worth it. Ni bora ahamie kwenye timu ambayo anaona anafit.

Mata akiwasilikiza watu kama nyie ataendelea kuwa hivyo hivyo. Hata-improve. As a coach you need to get the best out of players. Mata has more potentials to be better than in the past.
 
Naona mjadala umehamia huku!!

Anyway, nauvamia kama ifuatavyo.

Chifu naona bado umekomalia suala la complete player. Nami bado nakomalia kukuuliza, complete player ndiye yukoje? Mifano ya complete players?

Asante.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Naona mjadala umehamia huku!!

Anyway, nauvamia kama ifuatavyo.

Chifu naona bado umekomalia suala la complete player. Nami bado nakomalia kukuuliza, complete player ndiye yukoje? Mifano ya complete players?

Asante.

Unajua kitu kinachoitwa FASTEST? Mata anaweza kuwa na vyote lakini I think anamiss kitu kimoja.

Fitness wise siyo mbaya (he is not injury prone).

Ana agility nzuri kwa maana kuwa akiwa na mpira anaweza ku-beat the opposing player.

Strength wise is debatable. May be ni kutokana na umbo lake dogo, but I think he is OK.

Team player, hilo halina mjadala kwa Mata.

Execellent ball control, hilo nalo halina mjadala.

Shooting sidhani kama ni mbaya kwenye hiyo area. In fact sijui ni kwa nini asiwe ndiye anayepiga free kicks.

Tactically sound, hapo ndipo nadhani Mata ana tatizo. Why? Kwa sababu movement ya mchezaji wakati akiwa hana mpira ni muhimu sana kwa timu kama anavyokuwa na mpira.

Hivyo, kama midfielder, Mata hatakiwi ku-control the ball katikati ya uwanja tuu, bali pia inambidi pia atafute mpira pale timu yake inapokuwa imepoteza huo mpira.

Ku-defend siyo part ya game ya Mata. Lakini kama una choice ya kumpanga Oscar kwenye role ya numba 10 ambaye ana-defend, anafunga na ku-assist, then its no brainer.

Of course, kuna vitu vingine pia ambavyo mchezaji inabidi aviendeleze ili aweze kuwa a complete player. But the above are essential.

Uliangalia mechi ya jana? How did Mata play?
 
Unajua kitu kinachoitwa FASTEST? Mata anaweza kuwa na vyote lakini I think anamiss kitu kimoja.

Fitness wise siyo mbaya (he is not injury prone).

Ana agility nzuri kwa maana kuwa akiwa na mpira anaweza ku-beat the opposing player.

Strength wise is debatable. May be ni kutokana na umbo lake dogo, but I think he is OK.

Team player, hilo halina mjadala kwa Mata.

Execellent ball control, hilo nalo halina mjadala.

Shooting sidhani kama ni mbaya kwenye hiyo area. In fact sijui ni kwa nini asiwe ndiye anayepiga free kicks.

Tactically sound, hapo ndipo Mata ana tatizo. Why? Kwa sababu movement ya mchezaji wakati akiwa hana mpira ni muhimu sana kwa timu kama anavyokuwa na mpira.

Hivyo, kama midfielder, Mata hatakiwi ku-control the ball katikati ya uwanja tuu, bali pia inambidi pia atoe support defensively.

Ku-defend siyo part ya game ya Mata. Lakini kama una choice ya kumpanga Oscar kwenye role ya numba 10 ambaye ana-defend, anafunga na ku-assist, then its no brainer.

Asante kwa maelezo yako.

Umesema Mata siyo complete player; kwa maelezo yako hapo juu, sababu ni hayupo tactically sound.

Kwa hiyo, ina maana ili mchezaji awe complete player ni lazima awe na hiyo FASTEST?!?

Hiyo FASTEST ni kwa ajili ya kila mchezaji dimbani ama?

Of course, kuna vitu vingine pia ambavyo mchezaji inabidi aviendeleze ili aweze kuwa a complete player. But the above are essential.

Hivyo vitu vingine ni kama vipi? Pengine ukivitaja itapendeza katika kunogesha mjadala.

Uliangalia mechi ya jana? How did Mata play?

Niliangalia kwa kudonoadonoa sana. Hivyo sipo katika nafasi ya kuelezea Mata alichezaje.
 
Asante kwa maelezo yako.

Lakini, ina maana ili mchezaji awe complete player ni lazima awe na hiyo FASTEST?!?

Nadhani ulini-quote wakati na-edit post yangu. Of course, kuna vitu vingine pia ambavyo mchezaji inabidi aviendeleze ili aweze kuwa a complete player. But the above are essential.

Hivyo vitu vingine ni kama vipi?

Inatengemea anacheza position gani. Kwa mfano, ulisema kuwa Rooney is an exceptional player. Unadhani ni kwa nini ulisema hivyo?

Niliangalia kwa kudonoadonoa sana. Hivyo sipo katika nafasi ya kuelezea Mata alichezaje.

Labda akina Peasant waliangalia watatupa feedback, though I think he played OK. Sidhani kama yuko full fit kama kawaida yake.
 
Inatengemea anacheza position gani. Kwa mfano, ulisema kuwa Rooney is an exceptional player. Unadhani ni kwa nini ulisema hivyo?

Asante. Hapa ndipo penyewe.

"Inategemea na anacheza position gani."

Huwezi kupata complete player kwa kuangalia hiyo FASTEST kwa kila mchezaji uwanjani.

Mimi ninavyoona ni kwamba mchezaji anakuwa mahiri na kamili kutokana na kile anachopaswa kufanya kupitia position yake.

Na sidhani kama kuna mchezaji aliye-complete. Huyu Messi unayemsema kuwa ni complete, wachambuzi wanamnanga kwa kushindwa kutumia miguu yote na vichwa katika ufungaji (sidhani kama ana magoli zaidi ya 10 aliyofunga kwa kichwa na mguu wa kulia).
 
Mkuu ukiwaanzisha wale '3 amigos' Oscar, Mata na Hazard waanze huku Ramirez akiwa nyuma yao then Chelsea inatisha. Benitez alifanya hivyo na walitesa watu.
Kaja huyu Maurinho hata sijui ana beef gani na Mata
 
Mourinho ni kocha anayapenda defensive players na Mata ni offensive player hii ndio sababu kubwa ya kumweka benchi lakini kwa position yake Mata hajashuka kiwango.Hazard alikuwa anashambulia sana last season nafikiri unakumbuka alivyoanza na moto na alisema msimu huu atafunga na kuassist magoli mengi but since JM amekuja amemwambia asishambulie sana sidhani kama kuna assist alitotoa au kufunga goli,kwa hiyo msimu huu Hazard ameimprove ?

Then huwezi kumlazimisha Mata awe Xavi/Iniesta ni sawa na kumlazimisha Wellbeck afunge kama Messi haiwezekani

Naona mjadala umehamia huku!!

Anyway, nauvamia kama ifuatavyo.

Chifu naona bado umekomalia suala la complete player. Nami bado nakomalia kukuuliza, complete player ndiye yukoje? Mifano ya complete players?

Asante.

Naona wazee wa Man U mnatatizwa sana na ishu ya Mata kukaa benchi, wakati Kagawa anaozea kwenye benchi lenu hamsemi kitu!! Jose knows what he's doing with Mata, nina hakika Mata atakuwa bora zaidi chini yake maana Mata anaonekana ni kijana mwenye akili na mwenye kutaka kujifunza zaidi. Attitude yake iko poa sana japo yuko benchi, hivyo ninaamini atafanya kile Jose anataka ndani ya uwanja si mrefu.
 
Nadhani ulini-quote wakati na-edit post yangu. Of course, kuna vitu vingine pia ambavyo mchezaji inabidi aviendeleze ili aweze kuwa a complete player. But the above are essential.

Inatengemea anacheza position gani. Kwa mfano, ulisema kuwa Rooney is an exceptional player. Unadhani ni kwa nini ulisema hivyo?

Labda akina Peasant waliangalia watatupa feedback, though I think he played OK. Sidhani kama yuko full fit kama kawaida yake.

Niliangalia game, Mata kacheza vizuri na ameanza kuonyesha dalili za kujituma kukaba.
 
Kama hataki kuwa a complete player bora ahamie timu ambayo zina philosophy tofauti.

Kama hataki kuwa kama Xavi au Iniesta then humtakii mema kwa sababu he will not be a regular not only in Chelsea squad bali pia kwenye timu ya taifa ya Spain.

Kama mchezaji hafiti au hataki kufiti kwenye philosophy ya team, then he is not worth it. Ni bora ahamie kwenye timu ambayo anaona anafit.

Mata akiwasilikiza watu kama nyie ataendelea kuwa hivyo hivyo. Hata-improve. As a coach you need to get the best out of players. Mata has more potentials to be better than in the past.

Hapo kwenye blue umeiweka vizuri. Sioni kwanini watu wanashangaa kwamba mchezaji hawezi kuimprove game yake! Mata ana potential ya kuwa a better player than he is now, so WHY NOT?
 
Mkuu ukiwaanzisha wale '3 amigos' Oscar, Mata na Hazard waanze huku Ramirez akiwa nyuma yao then Chelsea inatisha. Benitez alifanya hivyo na walitesa watu.
Kaja huyu Maurinho hata sijui ana beef gani na Mata

OK, tufanye kwamba Chelsea ilikuwa inatisha chini ya Benitez, lakini alifanya nini kwenye EPL? Alishinda nini zaidi ya Europa? Jose ni winner, a proven CHAMPION ndo maana ana philosophy tofauti. Jose amshasema zaidi ya mara mbili kwamba lengo lake ni kumwona Mata na Oscar wakicheza pamoja lakini Oscar kama no 10, hivyo Mata ndo anatakiwa kuadapt style yake. Ni suala la muda tu naamini Mata atanza kupangwa kila game.
 
Asante. Hapa ndipo penyewe.

"Inategemea na anacheza position gani."

Huwezi kupata complete player kwa kuangalia hiyo FASTEST kwa kila mchezaji uwanjani.

Mimi ninavyoona ni kwamba mchezaji anakuwa mahiri na kamili kutokana na kile anachopaswa kufanya kupitia position yake.

Na sidhani kama kuna mchezaji aliye-complete. Huyu Messi unayemsema kuwa ni complete, wachambuzi wanamnanga kwa kushindwa kutumia miguu yote na vichwa katika ufungaji (sidhani kama ana magoli zaidi ya 10 aliyofunga kwa kichwa na mguu wa kulia).

hili swali Nzi ana majibu yake VIA final Uefa barca vs man yu teh teh teh teh teh teh samahani lakini
 
Last edited by a moderator:
Niliangalia game, Mata kucheza vizuri na ameanza kuonyesha dalili za kujituma kukaba.

Kwa misingi hiyo ni ukwel ulio wazi kuwa mata anasugua bench under mourinho simply because si mzuri katika defensive role but ni mzuri zaidi katika offensive role, na Mourinho anaamin zaid katika defence first na hii ndo sababu Mourinho hawez kumtumia mata kwa sana. Na ikumbukwe pia Mata si wa kwanza kuwekwa bench na mourinho kutokana na uchezaji wake Arjen Roben yamewah kumkuta haya chini ya mourinho.
 
Soka ni mchezo unaohitaji kushambulia na kukaba ili timu iweze kushinda. Timu yoyote na yenye mafanikio ni lazima iwe na balance kwenye attack na defence ndio maana Arsenal wamekuwa vilaza kwa misimu tisa sasa.
 
kumbe na Invisible naye ni mpenzi wa Chelsea sport
..Mkuu na wewe ulipata double pain kama mimi??? Nakumbuka siku Yanga walipopiga Simba na Chelsea nao wakabonyezwa na Liverpool......But nina imani this season wanazi wa The blues tutafurahi sana jambo kubwa Scolari kwenye dirisha dogo la usajiri January pale mbele aongeze striker mmoja mtafutaji magoli mzuri nina imani maisha yatakuwa laini kama unanawa tena na sabuni!!!!!!!

Anelka scoring yake imekuwa sio ya uhakika sana in absence of Drogba au unasemaje??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom