John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Hii habari arsenal wenyewe wamekanusha...Sad news for Chelsea fans, Kante is now on Arsenal radar.
Hii habari arsenal wenyewe wamekanusha...Sad news for Chelsea fans, Kante is now on Arsenal radar.
Labda manure( mbolea) za kupandia bustaniniKante mwenyewe anapendelea manure
Inakuaje watoe kea mkopo ikiwa hakuna ingizo kwenye nafasi yake?Ziyech anakaribia kwenda Milan Kwa mkopo
Sio tu Kante. Hawana uwezo kusajili regular starter yeyote wa Chelsea
Hutu ndio anastahili kubembelezwa hata kama alikua anataka kucheza Barca. Tuachane na Raphinha kabisaRobert Lewandowski: Chelsea and PSG 'will enter race if Barcelona fail to sign striker'
SawaSio tu Kante. Hawana uwezo kusajili regular starter yeyote wa Chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Personal terms zinakaribia kufikiwa kati ya Raphina na Chelsea
Kwa mwaka atavuta 6M huku kwa wiki akivuta 115K/wiki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Raphina ni aggressive, nina imani wakicheza mbele
Werner ---Havertz -----Raphina
AU
Sterling-----Havertz------ Raphina
Ile mazoea ya kupoteza magoli ya wazi itaisha
Katikati Kovacic ---Kante
Nyuma
Chilwell --- Milan Skriniar-- Silva --- Kounde -- James
Au
Chilwell ---- Koilabally --- Silva ---- Milan Skriniar----James
Watakoma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Ila naimani Raphinha anatuwa darajani maana barca hawana hela ya kumsajiri labda wamuuze De jong haraka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊😊Nimesoma sehemu kuwa mazungumzo ya Deco na Laporta jana hayakuwa mazuri kwa Deco, Barca hawana mil 60+ za kumnunua Raphina kwa hiyo ngoma imebaki kwa Chelsea kukamilisha usajili huo ili tuendelee na business zingine za akina Kounde, Delight au Koulibaly. Nafikiri mazungumzo ya leo kati ya Deco na Chelsea itazaa matunda mazuri
Mzee si sterling automatically anachukua nafasi yake...maana ziyech inasemekana hayupo kwenye mipango ya TT...aliyechukua nafasi ya Lukaku Kwa sasa n broja ...tusubiri bado zaidi ya siku 30 dirisha lifungweInakuaje watoe kea mkopo ikiwa hakuna ingizo kwenye nafasi yake?
Mendy atusaidie kidogo Kwa msenegali mwenzieChelsea step up transfer interest in Koulibaly and have ‘no problem’ meeting Napoli’s £34m asking price for defender
View attachment 2286675
We jamaa unanifurahisha hiv ujui hata nafasi ya sterling ni ipi? Sterling anacheza left wing ambapo kwenye hiyo nafasi anacheza Pulisic, odoi na Timo werner upande wa Ziyech ni right wing ukimtoa yeye hakuna mchezaji mwingine anayecheza kwenye hiyo nafasiMzee si sterling automatically anachukua nafasi yake...maana ziyech inasemekana hayupo kwenye mipango ya TT...aliyechukua nafasi ya Lukaku Kwa sasa n broja ...tusubiri bado zaidi ya siku 30 dirisha lifungwe