Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We jamaa unanifurahisha hiv ujui hata nafasi ya sterling ni ipi? Sterling anacheza left wing ambapo kwenye hiyo nafasi anacheza Pulisic, odoi na Timo werner upande wa Ziyech ni right wing ukimtoa yeye hakuna mchezaji mwingine anayecheza kwenye hiyo nafasi
Mbona kuna mechi nyingi tu tumecheza bila Ziyech na tukakipga fresh tu, kwani wkt hachezi hiyo namba alikua anacheza nani? Sidhani kama Ziyech ni wamuhimu hiiivyo km unavyosema.
 
Chelsea hawawezi kumuacha Ziyech ikiwa hawajapata mtu labda angetua Raphinha kuhusu Ziyech kutaka kuondoka nadhani mzee kiingereza kiasi fulani kimekupiga chini Ziyech aliandika ile article inahusiana na kuachana na wakala wake kwa hiyo mambo yote atajisimamia yeye hajasema anataka kuondoka Chelsea hizo speculation unazosikia hazina tofauti na tulivyoambiwa Werner atakiwi Chelsea au kusikia kante anahusishwa na Arsenal
Taarifa siji kupatia humu Mzee ..na hyo taarifa ya kubadili agent naijua IPO... lakini pia taarifa zake za kutakiwa na Milan ZIPO so usidhani kuwa nimekuwa obsessed na Ile taarifa ndo nikasema kuwa anatakiwa na Milan ..hizo taarifa zipo Mzee ooh
 
Mbona kuna mechi nyingi tu tumecheza bila Ziyech na tukakipga fresh tu, kwani wkt hachezi hiyo namba alikua anacheza nani? Sidhani kama Ziyech ni wamuhimu hiiivyo km unavyosema.
Ziyech anapokuwa achezi mfumo unabadilika tunakiwa hatutumii winger tunakuwa na machezaji watatu pale mbele Pulisic/Werner kai na Mount
 
Ukweli upo waz Ziyech anafos kwenda Milan ,Tena anafos sio kitoto,

Ni swala la muda TU, inaonesha Kuna kitu hafurahii hapo Chelsea , either mfumo haumfiti au personal issue labda na Kocha.

Ila Kuna kila dalili hawez kubak Chelsea

Yaan kashaomba kabisa aondoke, Ni Milan TU wanataka wapunguziwe bei
Mkuu kuna mechi nyingi sana tumecheza bila Ziyech. Hata akilazimisha kuondoka bado Chelsea itabaki kuwa Chelsea siku zote. Arsenal itabaki kuwa midtable club siku zote@hamis77
 
Sio uoni, De ligt amewapiga chini Chelsea, leo Viongoz wa Baryen wapo wanafanya negotiation na wawakilishi wa de ligt

Kuna muda tuache bla bla

Wachezaji Wana desire zao,
Achana na huyo christian falk. Ambae aliwahi sema Mount hana furaha na ujio wa havertz,

Wakina Di marzio wote wanasema MDL yuko tayar kucheza premier league.

Kama hujajua media za Spain n Germany huwa natabia ya kusema player anataka kuchezea tim zao

80M+ kwa De Ligt hapana kuna better option ziko cheaper
 
Chelsea hawawezi kumuacha Ziyech ikiwa hawajapata mtu labda angetua Raphinha kuhusu Ziyech kutaka kuondoka nadhani mzee kiingereza kiasi fulani kimekupiga chini Ziyech aliandika ile article inahusiana na kuachana na wakala wake kwa hiyo mambo yote atajisimamia yeye hajasema anataka kuondoka Chelsea hizo speculation unazosikia hazina tofauti na tulivyoambiwa Werner atakiwi Chelsea au kusikia kante anahusishwa na Arsenal
Chelsea wanamfukuzia Serge Gnabry, huyu ni mzuri kuliko Raphina kwa sababu kuu mbili
  1. Ni mfungaji na mtoa assists double dijits
  2. Ni mzoefu wa kuchezea timu kubwa na mashindano makubwa
 
Wachezaji hawaitaki chesiiii Sababu kuna edwood mpya au boehly
sisi ndio hatuwataki wachezaji, ndio maana mchezjai kama Ronaldo, Neymar hata Lukaku tumewakataa
Nimemtaja Lukaku kwa sababu Lukaku haukuondoka Chelsea kwa sababu ya kuflop bali hana uzalendo na klabu
 
Stering anakichafua vizur tu right wing, city pale kacheza mechi nyingi tu right wing.
Sterling ni mzuri akicheza right wing, ila left na false 9 anacheza pia
Ukiona mchezaji anatoka timu inayofanya vizuri kama city jua kuna misuguano na kocha
PEP is not an easy manager
 
Confirmed Line up kwa mbele
3-4-3

Havertz

Mount------ ------- Raheem

Chilwell --- Kovacic ---- Kante ----- James

Kounde ------- Silva ------ Koulibaly

Mendy

AU

4-2-3-1

Havertz

Werner ------ Mount ------- Raheem

-- Kovacic ---- Kante ---

Chilwell----- Silva ------ Koulibaly---- James

Mendy

Bado tunaunda timu
 
Chelsea wanamfukuzia Serge Gnabry, huyu ni mzuri kuliko Raphina kwa sababu kuu mbili
  1. Ni mfungaji na mtoa assists double dijits
  2. Ni mzoefu wa kuchezea timu kubwa na mashindano makubwa
Shida ya Chelsea ya sasa tetesi zimekuwa nyingi Sana kuliko matokea mfano mzuri sterling tangu zitoke habari tumekubaliana nae leo ni siku ngapi zimepita bado hata kufanya medical examination yenyewe? Huyo ni machezaji ambaye tumeshakubaliana nae anachukua muda mrefu kiasi hicho kutambulishwa? Vipi kuhusu hao tunaohusishwa nao?
 
Mkuu uko nyuma ya wakati, Sterling kashapima juzi sasa ni mchezaji wa Chelsea bado tu kutangazwa
 
Shida ya Chelsea ya sasa tetesi zimekuwa nyingi Sana kuliko matokea mfano mzuri sterling tangu zitoke habari tumekubaliana nae leo ni siku ngapi zimepita bado hata kufanya medical examination yenyewe? Huyo ni machezaji ambaye tumeshakubaliana nae anachukua muda mrefu kiasi hicho kutambulishwa? Vipi kuhusu hao tunaohusishwa nao?
Uko sawa kwa Serge bado tuko kwenye stage ia "INTERESTED" hadi tufike kwenye bid submited, bid rejected na medical inaweza chukua siku sio chini ya 30. Chelsea ya mwaka huu iko very slow. Sijui hao wachezaji sita tutawasajili madirisha m,awili?
 
Chelsea are in direct contact with Kalidou Koulibaly's agent.

- @FabrizioRomano
 
Bayern Munic yaongeza dau la Lewandowski kutoka Euro mil 50 kwenda mil 70
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom