Kwa dunia ya leo sitashangaa. Hiyo ya RLC ilinipita. Una reliable link?Pale chelsea kuna mashoga pia
Yule RLC alishajitangazaga.
Chilwell na Mount mimi siwaelewiwanakuja wanakata
Na yule pulisic
Hawa jamaa hawaaminiki.
Hata huko mwanitesa,man shit,ass8,looserfools, wako kibao hao jamaa
We google tu utspats kioa kituKwa dunia ya leo sitashangaa. Hiyo ya RLC ilinipita. Una reliable link?
Barcelona still 'alive' in the race for Raphinha, although Chelsea have an agreement in place with Leeds, as per @gerardromero.
gerard romero ni reliable source kwa habari za barcelona, kabla hajapost taarifa hiyo alisema ana bomu anataka kuachia, nilidhani ni ishu ya de jong kumbe ni raphinha. AfadhaliBarcelona still 'alive' in the race for Raphinha, although Chelsea have an agreement in place with Leeds, as per @gerardromero.
They are in talks with Deco, his agent, right now and have found ways to sign the Brazilian.
Ngoja tuone hali itakavyokuwa maana barce hal yao inajulikanagerard romero ni reliable source kwa habari za barcelona, kabla hajapost taarifa hiyo alisema ana bomu anataka kuachia, nilidhani ni ishu ya de jong kumbe ni raphinha. Afadhali
Anayeleta uhuni hapo ni Deco wala sio RaphinhaDeal la Raphinha bado personal terms hazijafikiwa, n Raphinha anasubiri offer ya Barce hii ndio priority yake kuanzia mwanzo
Barce itabidi wafikie dau wanalotaka leeds or Leeds washushe bei yake
#RaphinhaHuyo mvuta bange hana hata source, hizo story za vijiweni wakishalewa mimoshi wanayovuta.Sijaipata Google.
Mfano kwenye hii list haipo. Si uniwekee tu?
Kilichotuangusha ni Dembele kukataa ofa ya Barcelona sasa Barca wanamtaka Raphina kwa udi na uvumba ili wamruhusu Dembele kusepa. Dembele akikubali ofa ya Barcelona kabla ya kesho usiku Raphina ni wetuChelsea are waiting for Raphinha’s answer. Been told Deco has direct talk with Chelsea scheduled tomorrow#Raphinha
Talks still on, after agreement with Leeds [£60m].
Barcelona and Arsenal will try until the end.
Reminder: Barça agreed personal terms with Deco 4 months ago.
Dembele haitaji tuhusa ya kuondoka, mkataba wake unaisha kesho, by Ijumaa anakuwa free agentKilichotuangusha ni Dembele kukataa ofa ya Barcelona sasa Barca wanamtaka Raphina kwa udi na uvumba ili wamruhusu Dembele kusepa. Dembele akikubali ofa ya Barcelona kabla ya kesho usiku Raphina ni wetu
Chelsea walisubmit offer kwa Barca na Dembele na kwa Leeds na Raphina ilikuwa mazungumzo. Chelsea isingeweza kuwasajili wote hivyo hapo ni kutegeana. Barca watamchagua Dembele au Raphina, Karata hadi sasa iko kwa Braca, na kumpata mmojawapo iko mikononi mwake Barcelona, japo kwa Dembele Dembele bado
kuchagua naana masaa 24 hivi
Chelsea wanataka washambuliaji wawili tu kati ya
Raphina na Dembele au
Raphina na Sterling au
Dembele na Sterling
Hapo kazi ipo
Yeah, nimegundua Chelsea hawajatoa offer yeyote kwa Dembele ni harakati tuDembele haitaji tuhusa ya kuondoka, mkataba wake unaisha kesho, by Ijumaa anakuwa free agent
Shida ya barce hawana helaYeah, nimegundua Chelsea hawajatoa offer yeyote kwa Dembele ni harakati tu
Baada ya kesho atakuwa mchezaji huru
Ila mimi naona Dembele atakubali offa ya Barca kabla ya kesho
Dembele anataka aongezewe mshahara ili asaini mkataba mpya kitu ambacho kimekuwa kigumu kwa barca kutokana na hali ya kiuchumi now anakura £210 kwa wikiYeah, nimegundua Chelsea hawajatoa offer yeyote kwa Dembele ni harakati tu
Baada ya kesho atakuwa mchezaji huru
Ila mimi naona Dembele atakubali offa ya Barca kabla ya kesho