Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

90%

De ligt to Baryen

Kolibaly to Juventus

Sisi tukomae na AKe wacheze pacha na Mallang Sarr,🤣🤣🤣🤣
 
🚨🚨| Raphinha & Dembélé to FC Barcelona are now at the final stages.
@FabrizioRomano [🎖️]

😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
 
33 minutes - Sterling big chance missed
47 minutes - Sterling big chance missed
67 minutes - Sterling big chance missed
74 minutes - Werner for Sterling
81 minutes - Werner big chance missed
88 minutes - Werner big chance missed

FT Chelsea 0 - 1 Brighton

Scenes next season 😂
 
33 minutes - Sterling big chance missed
47 minutes - Sterling big chance missed
67 minutes - Sterling big chance missed
74 minutes - Werner for Sterling
81 minutes - Werner big chance missed
88 minutes - Werner big chance missed

FT Chelsea 0 - 1 Brighton

Scenes next season 😂
Mbona naona wewe ndio unaoteseka kuliko sisi wenye team yetu uoni una tatizo?
 
Mbona naona wewe ndio unaoteseka kuliko sisi wenye team yetu uoni una tatizo?
So let’s get this straight. Chelsea signed sterling. A guy that missed the most chances in the prem in the last 5 years

They signed another Werner 😭😭😭😭😭😭😭😂😂😂😂😂👋👋👋👋👋
 
Chelsea is offering De Ligt a five-year contract, £9m i(173,000/week or Euro 205,000/week) wage have been tabled as Tuchel's side look to flex their financial muscles.

If for some reason, the former Ajax prodigy was to snub Chelsea, Kalidou Koulibaly and Jules Kounde will reportedly be pursued.
Sioni tukitoa 80+ kwa de ligt,
 
mshahara wa Lewandowski ni Euro 450,000/week au paundi 380,000/week je Barcelona watauweza kama tu paundi 280,000/week ya Dembele wameshindwa
 
Mzee si sterling automatically anachukua nafasi yake...maana ziyech inasemekana hayupo kwenye mipango ya TT...aliyechukua nafasi ya Lukaku Kwa sasa n broja ...tusubiri bado zaidi ya siku 30 dirisha lifungwe
Nimesoma sehemu lakini nakuhakikishia hizo ni poroja za media tu, waandishi wa habari wanajuaga kutengeneza cases kwa kuchukulia hali ya dressing room. Ziyech hakuridhika na game time Chelsea na kwa hiyo anataka kuondoka ila TT hakusema chochote kuhusu kuwa au kutokuwa na plan naye
 
Sioni tukitoa 80+ kwa de ligt,
Sio uoni, De ligt amewapiga chini Chelsea, leo Viongoz wa Baryen wapo wanafanya negotiation na wawakilishi wa de ligt

Kuna muda tuache bla bla

Wachezaji Wana desire zao,
 
Attachments

  • Screenshot_20220708-131811~2.png
    Screenshot_20220708-131811~2.png
    30 KB · Views: 7
mshahara wa Lewandowski ni Euro 450,000/week au paundi 380,000/week je Barcelona watauweza kama tu paundi 280,000/week ya Dembele wameshindwa
❗| No one in football, not even agents know how FC Barcelona will get the money to sign Raphinha.
@FabrizioRomano [🎖️]

Wame ofa €75m kwa Raphina ,

Wewe unauliza watamlipa nini Lewandowisk?

Dembele mwenyewe kasha saini wanamalizia details chache TU

Barcelona Kuna hela anazipata wiki hii karibu €200m kauza haki zake kwa 10%

Na Awali alikuwa na €100m

So anaenda kutumbukiza mzigo wote kwenye usajiri

Habari mbaya hata De jong anaweza kubaki ,

Walichofanya Barca Target zao zote wakiwaambia wawe wavumilivu , ndio maana Lewandowisk, Raphina ,KOUNDE, Cesar,n.k hawasikilizi timu Nyingine zaidi ya BARCA
 
Hiyo pesa ina kazi nyingi sio kununua wachezaji tu
Dembele kashusha mshahara kwa 40% sasa unalingana na wa Ansu Fati
Kuuza haki za 10% TV kwa miaka 25 sio mchezo sasa mapato hayo hawatakuwa nayo kwa 25yrs na bado walikuwa wanatafuta mteja wa kuuza zingine
Bado kuna risk ya timu kutofanya vizuri na hivyo mapato mengine kupotea. hao wachezaji waliowanunua kwa pupa wanweza kuflop. Barcelona kacheza kamari tena mbaya ya kuuza nyumba
Tungoje tuone
 
Hiyo pesa ina kazi nyingi sio kununua wachezaji tu
Dembele kashusha mshahara kwa 40% sasa unalingana na wa Ansu Fati
Kuuza haki za 10% TV kwa miaka 25 sio mchezo sasa mapato hayo hawatakuwa nayo kwa 25yrs na bado walikuwa wanatafuta mteja wa kuuza zingine
Bado kuna risk ya timu kutofanya vizuri na hivyo mapato mengione kupotea. hao wachezaji waliowanunua kwa pupa wanweza kuflop. Barcelona kacheza kamari tena mbaya ya kuuza nyumba
Ni kweli kwa usajiri wao wa pupa unaweza kuwaletea matatizo mbeleni

Ila kwa TAARIFA kutoka Tier1 kwa habari za Barca ,wanasema €200m inaenda kwenye usajiri

Ndio maana wameshaandaa formal ofa kwa Leeds ya €72m

Wiki hii mzigo ukiingia wanaiwasilisha
 
Let's wait and see
 
We jamaa unanifurahisha hiv ujui hata nafasi ya sterling ni ipi? Sterling anacheza left wing ambapo kwenye hiyo nafasi anacheza Pulisic, odoi na Timo werner upande wa Ziyech ni right wing ukimtoa yeye hakuna mchezaji mwingine anayecheza kwenye hiyo nafasi
Wewe ndo unafurahisha Mzee....sterling NI forward Kwa maana hyo anacheza nafasi zote za mbele kushoto , kulia , mpk false 9 kuna baadhi ya games pep alishawahi kumpanga....mkuu huyo ziyech anaenda Milan we jiandae kisaikolojia naona mpk umeamua kujiita ziyech
 
Ukweli upo waz Ziyech anafos kwenda Milan ,Tena anafos sio kitoto,

Ni swala la muda TU, inaonesha Kuna kitu hafurahii hapo Chelsea , either mfumo haumfiti au personal issue labda na Kocha.

Ila Kuna kila dalili hawez kubak Chelsea

Yaan kashaomba kabisa aondoke, Ni Milan TU wanataka wapunguziwe bei
 
33 minutes - Sterling big chance missed
47 minutes - Sterling big chance missed
67 minutes - Sterling big chance missed
74 minutes - Werner for Sterling
81 minutes - Werner big chance missed
88 minutes - Werner big chance missed

FT Chelsea 0 - 1 Brighton

Scenes next season
At the the end of the league still Arsenal at midtable and Chelsea are qualified for UCL next season

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So let’s get this straight. Chelsea signed sterling. A guy that missed the most chances in the prem in the last 5 years

They signed another Werner
Pamoja na ivyo goal na assist contribution bado haishuki chini ya 15 kila msimu

Most take-ons completed inside the opposition box in the Premier League since 2017/18:

◉ 82 - Raheem Sterling
◎ 74 - Mohamed Salah
◎ 60 - Wilfried Zaha
◎ 50 - Riyad Mahrez
◎ 47 - Gabriel Jesus
◎ 47 - Marcus Rashford
◎ 45 - Son Heung-min

Raheem the Dream.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo unafurahisha Mzee....sterling NI forward Kwa maana hyo anacheza nafasi zote za mbele kushoto , kulia , mpk false 9 kuna baadhi ya games pep alishawahi kumpanga....mkuu huyo ziyech anaenda Milan we jiandae kisaikolojia naona mpk umeamua kujiita ziyech
Chelsea hawawezi kumuacha Ziyech ikiwa hawajapata mtu labda angetua Raphinha kuhusu Ziyech kutaka kuondoka nadhani mzee kiingereza kiasi fulani kimekupiga chini Ziyech aliandika ile article inahusiana na kuachana na wakala wake kwa hiyo mambo yote atajisimamia yeye hajasema anataka kuondoka Chelsea hizo speculation unazosikia hazina tofauti na tulivyoambiwa Werner atakiwi Chelsea au kusikia kante anahusishwa na Arsenal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom