Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pale chelsea kuna mashoga pia

Yule RLC alishajitangazaga.

Chilwell na Mount mimi siwaelewi wanakuja wanakata

Na yule pulisic

Hawa jamaa hawaaminiki.

Hata huko mwanitesa,man shit,ass8,looserfools, wako kibao hao jamaa
RLC ushoga ulimpa wewe???
Screenshot_2022_0630_105937.jpg
 
Chelsea sasa wanataka kumtoa kafara Pulisic ili Matthijs De Light atue darajani. Juve wanampendelea Pulisic zaidi ya Timo Werner
 
Mechi za mwisho mwisho Alonso kakichafua Sana kumbuka game ya Liverpool alichofanya na pia kuna emerson, hatuwezi tukasajili wachezaji kwenye maeneo ambayo tunaunafuu wakati tuna mapengo maeneo mengi unapaswa kulijua Hili kwanza kule upande wa James hatuna mtu kabisa tunabidi kuongeza kiungo jorginho na kanye wameanza kuchoka, kuna nafasi za mabeki wawili na winga wa kulia striker pale Kati sio Sana kama tukiwaamini Kai na broja watatupa magoals
Alonso anaweza akaondoka mkuu
 
Uwezekano wa Matthijs De Light kuja Chelsea ni mkubwa kwa sababu ya kauli hii ya Juve

Juventus admit it is ā€˜impossible’ to keep unhappy players amid Chelsea approach​

1656582635104.png
 
Barcelona wasema wana nafasi kwa Dembele au Raphina tu sio kwa wote wawili

The Spanish giants are clear they only have room for him or Ousmane DembĆ©lĆ©. The latter’s contract expires today and it is not clear what his plans are.
 
Neymar hana influence kwa wenzake kwenye dressing room. Hii ndio sababu PSG hawamtaki tena na wameshamwambia hawana plan naye.
Silva anamtaka aje Chelsea, Sijui kama TT naye anamtaka au?

Mchezaji wa umri huu wa miaka 30 kama hawezi kuwainfluence wenzake hana faida pia Chelsea. Atatuletea mzigo wa bure kama wa Lukaku. Silva yeye ameleta mengi ikiwepo leadership na influence kwa wenzake. Amesababisha defence ya Chelsea ikatuylia na kuwa one of the solid defence in Europe.

The report adds that Neymar is said to be a poor influence on other players in terms of behaviour, while the players closest to him in the dressing room, Angel Di Maria and Leandro Paredes, have left or are on their way out of the club.
 
Leo Deco atakuwa na mazungumzo na Chelsea kuhusu personal terms na Raphina. Sijui jana walizungumza nini na Barcelona ila lengo kubwa la Deco ilikuwa ni kujua kama Barcelona bado wanamtaka Raphina. Mimi naona Barcelona watamchukua Raphina kama watauza wachezaji na pia kama Dembele ataendelea kudindia mkataba
 
Nimesoma sehemu kuwa mazungumzo ya Deco na Laporta jana hayakuwa mazuri kwa Deco, Barca hawana mil 60+ za kumnunua Raphina kwa hiyo ngoma imebaki kwa Chelsea kukamilisha usajili huo ili tuendelee na business zingine za akina Kounde, Delight au Koulibaly. Nafikiri mazungumzo ya leo kati ya Deco na Chelsea itazaa matunda mazuri
 
Wachezaji wa Uhakika hadi sasa
  1. Raphina - LW
  2. Matthijs Delight CB
  3. Raheem Sterling - RW
Raphinha (RW) - Havertz (CF) - Sterling (LW)

Raphinha (RW) - Werner (CF) - Sterling (LW)

Sterling (RW) - Havertz (CF) - Raphinha (LW)

Sterling (RW) - Werner (CF) - Raphinha (LW)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom