Hapo ni kawaida sana tena sanaa dembele na raheem wataleta maujiza gani? Ambayo hatujayaona hapo bado sana tunahitaji goal wizard kama Lowidosiki nkTHOMAS TUCHEL has reportedly placed three players among his top attacking targets after being told he can lead Chelsea's transfer business this summer.
Man City's Raheem Sterling, RB Leipzig's Christopher Nkunku and PSG's Ousmane Dembele are the players the German is said to be most keen on.
Kama wakisajiliwa hivyo, basi tutapambana kiume msimu ujao
Fabrizio Romano Kasema kuwa Kounde huenda akatua chelsea kwa Dau la Pound 73 au anaweza kutua pasipo kuwa na dau lolote maneno haya ameyanukuu kutika kwa mkurugenzi wa selvilla huyu jamaa hua namuani ndo maana nawaambia chelsea tulieni sisi huwa tunamaliza mwishoni angalieni kwa kai na timo msimu ulioishaMpaka sasa Chelsea haijafanya maamuzi juu ya hizi rumours tunazozisikia za akina Kounde, Dembele, Nkunku, na wengineo isipokuwa inakazana tu na usajili wa makinda wa u18
Kwa miaka ya hivi karibuni tumekuwa tunafanya sajil za pesa nyingi na zinaenda kuwa flop hii yote ni kusajili wachezaj wasiondana na mifumo ya kocha,Mpaka sasa Chelsea haijafanya maamuzi juu ya hizi rumours tunazozisikia za akina Kounde, Dembele, Nkunku, na wengineo isipokuwa inakazana tu na usajili wa makinda wa u18
Ndgu yangu allypipi za siku mkuuuNyie cheltako ratiba yenu hii mtatoboa hapa kweli.View attachment 2262691
Wewe naona unahamia kwetu kiaina tu, sisi hatuna kinyongo, karibu uepuke magonjwa yakujitakia huko mwanitesa unitedNyie cheltako ratiba yenu hii mtatoboa hapa kweli.View attachment 2262691
Sasa baba wachezaji hao wanaondoka unazani nini kitatokea mtashuka daraja msimu huu unaoanzaSasa ndio muda wa akina Marcus, GK,Xavier Mbuyamba, Sarr, Harvey Val, Bell, Lewis Hall kutamba
Matakataka nyie yani naanza kuiona neema Manchester hafu niikimbie timu yenye imepata mabosi uchwalaWewe naona unahamia kwetu kiaina tu, sisi hatuna kinyongo, karibu uepuke magonjwa yakujitakia huko mwanitesa united


SILVA umri mzee, mpe 60% tu ya masaa ya uwanjani... lakini haina shinda tuna madogo wanaupinga mwingi mno kwa ajili ya backup;Kwahiyo mpaka sasa, mchezaji ambaye tuna uhakika wa kumsajili ni Kounde.
Perisic ametupiga chini.
4-3-3
PULISIC ------- LUKAKU --------- MOUNT
KOVACIC ------- KANTE ----- GALAGHER
CHILWELL -- KOUNDE - SILVA --JAMES