Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huwezi kupata wachezaji wamaana kwenye dirisha la January Team nyingi zinakuwa zinawan'gan'gania wachezaji wao muhimu kwa sababu kipindi kama icho clubs zinakuwa na agenda zao wapo wanataka ubingwa wa ligi zao na pia wapo wanataka big 4 so inakuwa si rahisi kuuza wachezaji wao muhimu kwa situation kama hizo
Wewe timu nyingi tu zimepata wachezaji dirisha la January. Huu hapa mfano mdogo tu Vlahovic, Luiz Diaz, Ferran Tores, Luis Suarez hizo ni chache ya sajili zilizowahi kufanyika Jan
 
20220618_134100.jpg
 
Wewe timu nyingi tu zimepata wachezaji dirisha la January. Huu hapa mfano mdogo tu Vlahovic, Luiz Diaz, Ferran Tores, Luis Suarez hizo ni chache ya sajili zilizowahi kufanyika Jan
Angalia na hizo bei walipatikana utajua mantiki yangu ni ipi Hilo dirisha utampata mchezaji ikiwa hayupo Will kuendelea na club ndio inalazimisha club imeuze lakini kikawaida ni mgumu kwa club kumuacha mchezaji
 
Ndugu zangu Chelsea naona kwa style hii ya huyu mmiliki mpya naona kabisa mtakavyo anza kuwa na bajeti kali kama Arsenal.
Screenshot_20220618-210358_Instagram.jpg
 
Angalia na hizo bei walipatikana utajua mantiki yangu ni ipi Hilo dirisha utampata mchezaji ikiwa hayupo Will kuendelea na club ndio inalazimisha club imeuze lakini kikawaida ni mgumu kwa club kumuacha mchezaji
Sio busara kutegemea dirisha la january kama timu iko serious na usajili. Mpaka atokee mchezaji mzuri anagombana au hajaridhika kwenye timu na anaeweza kuondoka bure kiangazi ndipo sa wanaamua kumuuza january. Cases hizi ni chache sana kutokea
 
Ndugu zangu Chelsea naona kwa style hii ya huyu mmiliki mpya naona kabisa mtakavyo anza kuwa na bajeti kali kama Arsenal.
View attachment 2265169
Pamoja na hizo ngonjera, Chelsea wanafanya timing, ukiwahi ukapa mzuri sawa usipopata itabidi kuchelewa ili mwishoni competion ikipungua ni rahisi kupata wachezaji wanaotosha kwa bajeti isiyopingana na FFP
 
Pamoja na hizo ngonjera, Chelsea wanafanya timing, ukiwahi ukapa mzuri sawa usipopata itabidi kuchelewa ili mwishoni cpmpetion ikipungua ni rahisi kupata wachezaji wanaotosha kwa bajeti isiyopingana na FFP
Angalia na hii.
Screenshot_20220618-215147_Instagram.jpg
 
Sio busara kutegemea dirisha la january kama timu iko serious na usajili. Mpaka atokee mchezaji mzuri anagombana au hajaridhika kwenye timu na anaeweza kuondoka bure kiangazi ndipo sa wanaamua kumuuza january. Cases hizi ni chache sana kutokea
Niliongelea usajili wa January kutokana na hali halisi iliyopo sasa hivi kwa dirisha hili itakua ngumu kupata mchezaji wa maana so nikaona walau kwa January mambo mengi klabuni yanaua yamesettle na process za usajili zinaweza kuendelea
 
. @FabrizioRomano on Chelsea: "Of course, it's not easy when a new ownership is coming with the old board, so they're trying to find the right way and they're working on many things. And Chelsea will sign new players, they are on it behind the scenes."
 
Mkuu Chelsea inaenda kuwa Arsenal muhimu tuwaite Arsenal fans waje watupe experience ni kwa namna gani tunaweza kusurvive kama wao. Tusijipe matumaini makubwa ni vyema tukajiandaa kisaikolojia
 
Niambie sasa hivi kuna midfield gani ni mzuri yuko available sokoni ikawa rahisi sisi kumsajili kwa huu muda uliobaki?

Ndio maana nikasema walau January ndio tunawezafanya sajili ya maanaila saivi tutaishia kula za uso huko watu wanaweka vibunda mfukoni
Mkuu wako wachezaj wazuri tu sema hawajawa hyped,
Kuna ile mid ya RB liepzig Leimar n kuna wa PSV S Sangare
Wachezaji wazuri wapo ni vile tu huwa tumekazania Big names

Tukitulia mwa makini tunaweza pata wachezaj wazuri na watakao perform kwa hela nzuri,
Azplicueta,Mendy,Kante etc hawa wote hatukuwasaj kwa hela kubwa hela ndogo tu ila shughul yao inaonekana

Tutegemee usajil utafanyika ila summer ya 2023/2024 hapo ndio tutakuwa tumekaa sawa katika mfumo wetu wa kusajil utakuwa ushaandaliwa. January ni ngumu kupata wachezaj wazuri maana wengi huwa tim hazitak kuwauza

Kinachotukwamisha sasa tim imetoka kuuzwa ndani ya siku 19 zilizopita tusitegemea usajil wa haraka haraka
 
Mkuu Chelsea inaenda kuwa Arsenal muhimu tuwaite Arsenal fans waje watupe experience ni kwa namna gani tunaweza kusurvive kama wao. Tusijipe matumaini makubwa ni vyema tukajiandaa kisaikolojia
Mkuu hatwend kuwa kama arsenal, bado naiman na hawa matajiri.
Mda ni jambo zuri sana,

Tusikurupuke kwenye usajil, tusajil kimkakati na si kwa kufata mkumbo,
Je nikiasi gani tumetumia kule mbele ila bado tumestruggle kwenye Epl

Tulikuwa kwenye vikwazo na tim imeuzwa tareh 30/5 huku vilabu vingine vikiwa huru kufanya sajil/kufanya pre-agreement na wachezaj.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom