Walete mabeki wawili na winga mmojaWachezaji 18 ambao Chelsea wana link nao ni
- Kounde
- Dumfries
- Richarlison
- Wesley Fofana,
- Raheem Sterling
- Ousmane Dembele,
- Robert Lewandowski
- Milan Skriniar (Inter),
- Alessio Romagnoli (AC Milan),
- Presnel Kiempembe
- Achraf Hakimi (both PSG),
- Sergi Dest (Barcelona),
- Benoit Badiashile (Monaco),
- Josko Gvardiol (RB Leipzig)
- Matthijs de Ligt (Juventus).
- Marc Cucurella
- Gabriel Slonina from Chicago
- Thomas Strakosha from Lazio
Midfielder naona hyo nafasi tuna uhitaji nayo..hasa defensive midfielder au ndo waaminiwe kina ampaduWalete mabeki wawili na winga mmoja
Tuwape nafasi aisee vijana wetu wa academy wakipata nafasi Huwa hawana utani wanafanya vizuri.Midfielder naona hyo nafasi tuna uhitaji nayo..hasa defensive midfielder au ndo waaminiwe kina ampadu
Sio una mpampu mchezaji halafu anaishia kuflop kama lukazigo.Mkuu hebu mpe heshima Dembele. Keshaprove ana uwezo mkubwa sana kinachomuharibia Dembele ni majeruhi ya mara kwa mara tu pia alishawahi kuripotiwa ni mvivu wa mazoezi. Halafu nahisi wengi humu wanamkataa kwa sababu labda wanamfuatilia juu juu tu. Katika hao wachezaji uliowataja hakuna anaemzidi kwa numbers Dembele.
Lakini tukumbuke huyu Dembele alinunuliwa na Tuchel alipokua Dortmund na sasa ivi anakuja Chelsea yawezekana ni kwa sababu ya influence ya kocha TT. Binafsi sima shaka na Dembele pengine tunaweza kuona mabadiliko makubwa ambayo wengi humu wanakataa
Hatotukuwa midtable team, , mara ya mwisho kufanya sajili za akili ni 2013/14 tuliposajil fabregas,costa,felipe luis na msim na ule wa 16/17 wa kante baada ya hapo sajil tumekuwa tukibahatishaTunaenda kuwa midtable team
Soma hiyo aya kwanza vizuri, nimesema kinachomuharibia Dembele ni majeraha ya mara kwa mara na imesharipotiwa mara kadhaa ni mvivu wa mazoezi. Usikurupuke tu kusema nampampu mchezaji nimeeleza na negativity zakeSio una mpampu mchezaji halafu anaishia kuflop kama lukazigo.
Kati ya sajili ya kiupuuzi tuliyofanya ni huyo jamaa hana mapenzi na klabu.
Anafaa cheza ligi laini laini kama serie A.
Tunataka wachezaji wenye kustamili shuruba za ligi anaeweza cheza mechi 25+ za ligi kwa msimu
Kwa kuziba mapengo haraka haraka leta Kimpembe, Josko halafu tunamchukua na Richarlson tuanze msimu chap. Kwenye midfield watatusaidia kina Gallagher na MountWachezaji 18 ambao Chelsea wana link nao ni
- Kounde
- Dumfries
- Richarlison
- Wesley Fofana,
- Raheem Sterling
- Ousmane Dembele,
- Robert Lewandowski
- Milan Skriniar (Inter),
- Alessio Romagnoli (AC Milan),
- Presnel Kiempembe
- Achraf Hakimi (both PSG),
- Sergi Dest (Barcelona),
- Benoit Badiashile (Monaco),
- Josko Gvardiol (RB Leipzig)
- Matthijs de Ligt (Juventus).
- Marc Cucurella
- Gabriel Slonina from Chicago
- Thomas Strakosha from Lazio
Huyo Ampadu hapana kwakweli. Katolewa mkopo misimu mingap sijui lakini hamna kitu mwisho wa siku naye kawa kopo tu. Bora tuendelee kubaki na kina ChalobahMidfielder naona hyo nafasi tuna uhitaji nayo..hasa defensive midfielder au ndo waaminiwe kina ampadu
Hivi Chilwell hata mazoezi na timu kashaanza kweli?Chelsea vs Everton on 6 August 2022
Mason Mount ------Kai Havertz------Ousmane Dembele
Ben Chilwell---Mateo Kovacic---N'Golo Kante---Reece James
Josko Gvardiol ------Thiago Silva------ Jules Kounde
--------------Edouard Mendy--------------
Ukisoma hata maelezo ya boelhy anapenda sana jinsi liverpool wanavyosajili, na hicho ndio kinachoenda kututokea, ni jambo zuri tukipata DOF atakaefaham kocha anataka niniNinachoona mpaka sasa kwa dirisha hili kubwa tusijiwekee matumaini makubwa kama tunaweza fanya sajili za maana kwa sababu ya kile ambacho kilitukuta hakukua na kinachoeleweka kupelekea kutokufanya makubaliano na mchezaji yoyote.
Ambacho naona tunaweza fanya sajili ya maana dirisha dogo January ambapo board ya usajili itakua imeshatulia. Lakini kwa sasa labda itokee bahati otherwisetusijipe matumaini makubwa kwa kutaja majina makubwa makubwa. Hizi ni enzi za Todd sio Roman
Tunahitaj DM, kutegemea wakina mount eti na galagher,kova,kante,jorg ni yale yale tu.Kwa kuziba mapengo haraka haraka leta Kimpembe, Josko halafu tunamchukua na Richarlson tuanze msimu chap. Kwenye midfield watatusaidia kina Gallagher na Mount
Nyie cheltako ratiba yenu hii mtatoboa hapa kweli.View attachment 2262691
Niambie sasa hivi kuna midfield gani ni mzuri yuko available sokoni ikawa rahisi sisi kumsajili kwa huu muda uliobaki?Tunahitaj DM, kutegemea wakina mount eti na galagher,kova,kante,jorg ni yale yale tu.
City wakokatika mazungumzo ya kumsajil Kelvin Philips kutola leeds wakat huo huo wako pia katika mazungumzo ya kumsajil Marc Cucurella kutoka Brighton
Spurs walikuwa na hobjerg na Bentaccur ila wamemuongeza Bissouma
Tunahitaj kusajil wachezaj watakao kuja kuwachallage waliopo na si back up ya wachezaj waliopo
Wachezaj waliopo hawawez cheza game 7-10 katika kiwango kile kile, atafululiza game 3 baada ya hapo anapotea ataibuka baada ya miez 5
Huwezi kupata wachezaji wamaana kwenye dirisha la January Team nyingi zinakuwa zinawan'gan'gania wachezaji wao muhimu kwa sababu kipindi kama icho clubs zinakuwa na agenda zao wapo wanataka ubingwa wa ligi zao na pia wapo wanataka big 4 so inakuwa si rahisi kuuza wachezaji wao muhimu kwa situation kama hizoNiambie sasa hivi kuna midfield gani ni mzuri yuko available sokoni ikawa rahisi sisi kumsajili kwa huu muda uliobaki?
Ndio maana nikasema walau January ndio tunawezafanya sajili ya maanaila saivi tutaishia kula za uso huko watu wanaweka vibunda mfukoni