Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 590
- 1,529
Wote wenye wasiwasi niwatoe wasiwasi kuhusu usajiri utafanyika na chelsea msimu itakua bora zaidi haya masuala ya usajiri tumuachie kocha ingekua kuna shida kocha tayari angeshasema msije mkashangaa msimu ujao neymar akatua chelsea yani ni suala la muda kikubwa subra msibabishwe na hao wakina nunez na halaand sio kigezo cha kufanya sisi tuogope chelsea ni bora na itakua bora zaidi sisi huwa tunafunga kazi dakika za mwisho sasa hivi tuwaachie wenye tamaa