Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu isiokua na Kova, tusahau kuhusu kushinda. Tuombe tu tusifungwe mengi
Chelsea hauijui vizuri Chelsea ikishafika fainali haijalishi wanawakosa Nani lakini tegemea kwenye suala zima la kujitoa na kujituma utaliona kwao na mpira wataupiga mwingi mbona tumechukua Uefa champions league bila ya Kovacic ingawa kocha TT mwenyewe amethibitisha Kovacic atakuwepo kwenye game ya leo
 
Chelsea hauijui vizuri Chelsea ikishafika fainali haijalishi wanawakosa Nani lakini tegemea kwenye suala zima la kujitoa na kujituma utaliona kwao na mpira wataupiga mwingi mbona tumechukua Uefa champions league bila ya Kovacic ingawa kocha TT mwenyewe amethibitisha Kovacic atakuwepo kwenye game ya leo
Uwepo wake ni wa muhimu sana, yeye, Kante na Cheek ndio wenye uwezo wa kufanya dribling na kukokota mipira kwenda mbele, kova yuko 90% acurate na Cheek yuko 70%. Hiyo ndio tofauti. Kova akiwepo, mipira inawafikia akina Lukaku, Werner, Pulisic, Mount na inakuwa rahisi kufunga. Asipokuwepo labda Kante awe kwenye form ndie pekee anayeweza kuwakatia umeme majirani
 
CHELSEA HATUNA CHA KUPOTEZA LEO LIVERPOOL WANA PRESSURE NA KOMBE LA LIGI NA UEFA, SISI HATUNA PRESSURE YOYOTE
2012 ilikuwa hivi hivi
Chelsea tulikuwa na fainali ya UEFA mbele yetu, tulicheza fainal na Liverpool tukawafanyia unyama tukachukua FA na pia UEFA tukabeba. Hii ndg inaweza kuwa motivation kwao kucheza zaidi yetu. Wanapania kubeba Quadruple na hiyo Quadruple sio mchezo
 
1652523189888.png
 
Hapa kwenye EPL Todd Boehly anatakiwa kuweka mkakati madhubuti wa kubeba EPL kila mwaka. Yaani sisi tuko sawa na Sunderland inayocheza League One??
1652523360598.png

1652525330211.png
 
itakuwa ni aibu ya mwaka kufungwa na liverkuku final mbili mfululizo ...!

Liverpool kashakata upepo ,kule mbele wanafunga kwa mbinde Sana ,magoli ya kutumia nguvu ,kama villareal aliwachapa goli mbili ndani ya dakika 32 ,nyie mnashindwa vipi ...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naona baada ya kupigwa 3 nusu fainali umekimbilia kwa mme wako akusaidie nacheka saaaaana Hahahaha
 
Ili msimu ujao tushindane vizuri, head2head na Liver na Man city ni lazima tumlete Lewandowski darajani hata kama ni kwa kuvunja benki

City wana Haaland
Liverpool mbele wako vizuri labda Salah aondoke
Spurs wana Kane na Son labda washindwe kuimarisha katikati na Kocha atimue
Sioni Chelsea tukifanya vizuri zaidi ya namba 3 kama hatutamleta Lewandowski
 
TT karudia ya PEP

Thomas Tuchel has branded Jurgen Klopp "the master of being the underdog" as he praised his compatriot for fostering a countrywide "sympathy" for Liverpool.
 
Baada ya huu msimu kuisha huyu Rudiger katusaliti wakati tumempa maisha, atakuwa ni takataka tu Hana maana Tena akwende zake uko Madirid
 
Bado itatuchukua zaidi ya msimu 1 kujenga timu itakayopambana head to head na city & Liver kuwania ubingwa EPL.

LEWANDOSKI peke yake hatoshi kule mbele pembeni, katikati na nyuma kumeoza
Marekebisho mengine sio lazima tuingie sokoni, Kocha anatakiwa awanyooshe wachezaji na ikibidi hata viboko wapigwe, kumpa Lukaku au Lewandosky pasi afunge tunahitaji wachezaji zaidi ya Werner, Pulisic, Havertz, Mount, Ziyech jamani, hayo majina ni makubwa sana mimi naona pia kocha hatimizi wajibu wake kwenye baadhi ya maeneo. Ni kweli kafanya vizuri ila avute soksi zaidi. Awe mkali kama mzee kipara. Asiwabembeleze
 
Mark Walter na Clearlake hizo ni Assets Value.

1. Mark Walter $1.75 billion
2. Behdad Eghbali $4 billion
3. Hansjoerg Wyss $5 billion
4. Todd Boehly $4.5 billion

TOTAL = $15.25billion
Sawa na hao Clearlake Capital sio owners
 
Kwa mfano nani achapwe viboko? Mi naona wachezaji karibia wote uwezo wao ndio umeishia hapo.

Kuwachapa viboko Kante, Jog, Azip, cheek, Pulisic, Alonso ni kuwaonea

Tunahitaji wachezaji wengine wenye ubunifu/uwezo mkubwa + Energy zaidi ya hawa tulionao.
Ziyech ni bonge la mchezaji sema kuna mahala kocha wetu afanyi kazi yake properly ndio maana tunashindwa kupata the best from our players hata huyo Kai, werner ni wachezaji wazuri Sana hawa wachezaji wangekuwa wanafundishwa na Klopp au Pep tusingekuwa tunawaponda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom